Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha miundombinu ikiwemo viwanja
Amesema maboresho hayo yatasaiidia katika maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) ambapo Tanzania itakuwa mwenyewe kwa kushirikiana na Nchi za Kenya na Uganda.
Amesema maboresho hayo yatasaiidia katika maandalizi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) ambapo Tanzania itakuwa mwenyewe kwa kushirikiana na Nchi za Kenya na Uganda.