Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tuamke tuache upumbavu nchi yetu inaliwaYaani Zanzibar wamesamehewa deni kubwa na Tanesco. Zanzibar wanalelewa kama walemavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuamke tuache upumbavu nchi yetu inaliwaYaani Zanzibar wamesamehewa deni kubwa na Tanesco. Zanzibar wanalelewa kama walemavu
Wanatoa hudumaKwani tanesco wanafanya biashara au wanatoa huduma??
Inaumiza sanaTatizo kikwazo ni rais.alilazimisha eti watu walipishwe 350000 ndani ya mita moja.madhara ya viongizi ambao hawajachaguliwa na wananchi huwa ni kero tupu
we umeweka makalio juu, au siyo mwenzetuIla watanzania wajinga sana. Yani kutoka 27,000/- mpaka 320,000/- halafu watu wameweka makalio chn kama hakuna kilichotokea.
Tanesco inafanya biashara?Kuongeza wateja Kwa bei gani? Ni unatoa Msaada au unafanya biashara?
[emoji1787][emoji1787]we umeweka makalio juu, au siyo mwenzetu
Hapohapo unataka uokoe mazingira kwa kutotumia mkaa na kuni kupikia,Rais alishasema hakuna umeme wa afu27 hakuna mjadala tena hapo
Ndiyo hapo sasaHapohapo unataka uokoe mazingira kwa kutotumia mkaa na kuni kupikia,
Nchi hii watu wake hawana nyongo ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ila watanzania wajinga sana. Yani kutoka 27,000/- mpaka 320,000/- halafu watu wameweka makalio chn kama hakuna kilichotokea.
Ikiwemo weweNchi hii watu wake hawana nyongo ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ikiwemo wewe
Kweli kabisaaaUyo mbunge kaeleza kwa lugha rahisi sana na ukweli mtupu.
ilikua unaunganisha umeme kwa 27,000 na akuna mgao,lakini sasa kuumganishiwa umeme ni laki tatu na mgao juu.