Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Walishikwa nchini akiwa keshawaingiza busara gani wakati keshakuletea ndani ya nchi ingekuwa mpakani sawa unamwambia geuka.Keshakultea ndani ya nchi unarudisha wapi? Kenya wangekataa kuwa Sio vifaranga vya kwao watagoma kuwa haviingii kwao Hadi maafisa mifugo was Tanzania wathibitishe ubora wao.Ujue viliingia bila documents Sasa Kenya wangevipokeaje wakati mumiliki Hana documents husika za Kenya.Hivi hata wewe ungekuwa mkenya ungepokea mzigo usio na documents kuwa wa kwako? Kama vifaranga Sio vile vya Kenya je? Hekima gani waweza rudisha mzigo usio na documents nchi ya Mwingine kuwa Ni wake.Ndio maana serikali ikapiga Moto vile vifaranga kuondokana na complications za kipumbavu na usumbufu kea serikali na kuiingizia serikali ghatama usio na sababu.
 
Acha upotoshaji wewe uvccm unafikiri Vodacom ni vilaza kama nyie mnaokaririshwa kuja kutetea hoja za jiwe humu
 
Kama ni hivyo naunga mkono hoja ya mh jaguar Tupigwe tu mpaka tuchakae
Do you see ndo tuseme sisi Kama majirani tumeshindwa kuwa na mfumo mzuri na endelevu kwa ajili ya interaction between us, binafsi siungi mchango wako mkono but tujiulize why this kinatokea sasa may be we are the cause, I think serikali zetu watajadiliana na kufikia muafaka but kusema tupigwe hapana mimi nina ndugu wengi sana nchini Kenya na si mimi tu tuliowengi
 
Hawamu hiii watalia sana..
Bado hawajafinywa washaanza kulia..

Wasitujaribu..
 
Tupo tuliolalamika
 
Na vile wanachinjana waTz wenyewe wakitafuta utajiri kwa njia za kuua albinos. Hawa watu hawana utu wala ungwaana.
Washenzi hawa jamaa...misifa ya kijinga..ndo manake zanzibar wanawachukia hawa jamaa sana kw ajili ya mitabia yao
 
Mavijana mengi ya Tz ni mapuuzi na mazwazwa mnoo, yaan jitu linaunga mkono kila kitu eti simply haumpendi Magufuli or yeyote ktk Serikali, guys are yuu stupid? Yaan mzalendo gan anaweza kuunga mkono huu utumbo wa msomali kichaa

Mkuu..
Makumbafu ni wengi sanaa, wanajiita wanaharakatii rubish kabisa...
Machadema wanavijana wenye uwelewa mdogo sana
 
Track rekodi gani upuuzi wa kupendeleana tu mtu kasomea chakula aliwezaje kuajiriwa safaricom? Ni kuajiriana kiupendeleo.Wameachwa Wakenya waliosomea mambo ya simu unaajiri mama ntilie au mama lishe cheo Cha injinia halafu unampandisha vyeo huyo mama ntilie kwenye kampuni ya simu Hadi anakuwa na cheo kikubwa baadaye unahalalisha uovu part two kuwa anastahili kushika post kubwa ya u managing director Vodacom eti ana uzoefu huyu!!!!!! Umeacha wakenya wenye sifa ili umpe mama ntilie hiyo kazi!!! Loo shenzi type .Huo uhuni bakini nao huko huko Kenya.Mama nitilie akawe Managing director kampuni ya mapishi Sio Vodacom.Huyo mama cheo kinachomfaa hata huko safaricom Kenya ni kuwa head wa kitchen attendants kwenye canteen ya kampuni ya safarrcom.Hicho ndicho cheo kinachomfaa kwa digriii yake ya food science.Hicho Cheo alichonacho safaricom ni ufisadi mkubwa.Mamlaka za kupambana na rushwa na ufisadi Kenya zituatilie
 
Kenya wametuburuza kwa miaka mingi, hata mlima Kilimanjaro wanasema upo kwao kule maerekani uwanja mmoja unamgahawa umeaandikwa Serengeti na kwanakwamba ipo kwao
 
Tanzania ni nchi yenye amani na inakaribisha wageni wengi..Hoja hapa ni usifikirie kwamba utaenda kuiba mali ya Tz, ukiwa mwizi Tz utajuta.
Kwa kifupi wakenya muwache njanja njanja, utapeli na wizi
 
Mkuu naomba kupingana Na wew kuhusu hili swala la degree...INA maana MTU akisomea food science hawezi Kuongoza technology company?mbona kuna ma CEO wengi duniani wanaongoza makampuni makubwa kwenye nyanja ambazo hawakuzisomea as a foundational degree.unakuta MTU kasomea mechanical engineering akaunganisha MBA.anakua Managing director Wa kampuni inayohusika Na maswala ya ujenzi.kwa kukariri huyu MTU tungesema awe ana degree civil engineering ndo awe managing director Wa construction company..
 
Tanzania ni nchi yenye amani na inakaribisha wageni wengi..Hoja hapa ni usifikirie kwamba utaenda kuiba mali ya Tz, ukiwa mwizi Tz utajuta.
Kwa kifupi wakenya muwache njanja njanja, utapeli na wizi
Wa zanzibar nao waache nn...mbna wanawachukia sana
 
Huyo mwanamke mkenya MBA hana
 
Bado kulala mika kuhusu Dada zao tunavyo wala hawajui tuna vumilia mengi yaani unamchukua Wangechi ana sura ya baba yake tofauti ni papuchi
Hahahaaa! Akina wamoi, wambui, wanjiru, unakuta mwanamke mweusii roho mbaya! Yamejaa ubinafsi tu
 
Duale ameongea ukweli. We treat TZ like brothers, wanakuja huku bila work permit au passport na wanaishi vizuri kwa amani..
Mkenya akijaribu vilevile huko Tz, atapata changamoto kibao! Nimeishi Tz na wakijua wewe ni mkenya watasmile mbele yako lakini huko nyuma unapangiwa kufurushwa. They block our products, kuchoma kuku na kuuza ngombe zetu juu ya nyasi tuu. Mazao yao zinauzwa hapa bila wasi wasi.
I hope Duale and parliament follow through, everything that Tz does we do in reciprocity. Choma kuku, tunachoma vitunguu. Vile Silvia alinyimwa work permit pia wauzaji kama mia wange fukuzwa pale gikomba. Our politeness is being taken for weakness by tanzania
 
huyu mbunge kaongea ukweli mtupu ,
sisi ndio tulikua wa kwanza kuleta nongwa za kubiashara. nataka anaye mpinga huyu mbunge apinge haya anayoyasema kama hatukufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…