Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

SIJAWAHI SIKIA MBONGO ANAJADILI KENYA LAKN WAKENYA KILA SIKU WANAJADILI TZ . NAONA KUNA MTU ANAKANYAGWA KIMYA KIMYA .GOD BLESS TZ. TZ GOOOOOOOOOOOOO
Yani katika awamu wakenya wamepata shida sana ni awamu ya jembe yani hawana raha kabisa 😆😆😆😆😆
 
Njoo mombasa uone wafanyibiashara wa tanga wanavyonunua bidhaa zao mombasa...tena daily...jamaa anajaza zile coastar bidhaa mpka kw voti na wala hamana abiria
 

Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
 
Vyakula gani...au unamaanisha vitunguu na machungwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapana, kumhoji huyo CEO ni jambo jema maana alitajwa na mtu mkubwa kwamab ni mtoa taarifa kuhusu wakenya na ubaya wanayofanyiwa Tanzania.

Na taarifa zake ndizo zilizompa Duale nguvu ya kuwasilisha hoja zake bungeni. Na mbunge huyo huyo kaunganisha dots kadhaa na kumkashifu Rais wa nchi wa nchi yetu.

Ikiwa hakuna sababu ya kumhoji huyo CEO wa Baclays basi hakuna pia sababu za kuhoji hizi tensions zote. Otherwise are inseparable...
 


Wachaga wamechangamikia fursa!!! Ukifika Nairobi utasema ni moja ta kabila la Kenya
 
Yani katika awamu wakenya wamepata shida sana ni awamu ya jembe yani hawana raha kabisa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tunawatia jambajamba balaa hahaha
 
Ikiwa vifaranga tu mlivichoma...mtashindwa...je ya silivia mlinge ni urongo pia
 
So kama unaleta vifaranga havijakaguliwa na TBS na vimepita kimagendo nini maana yake??? Na kama je ni vifaranga vimepandikizwa magonjwa kuja kuwaua watanzania hilo unalichukuliaje??? Siku zite sheria ni msumeno haiwezekani ng’ombre wao walete kwenye area reserve za tanzania kuja kuwalisha na ni kinyume cha sheria ikiwa watanzania wanakatazwa kufanya hvo Na wapi ndani ya nchi yao,
Na katika swala la yule CEO kunyimwa permit wakat wapo watanzania wanaeza kufit kwa nafas hio
 
Njoo mombasa uone wafanyibiashara wa tanga wanavyonunua bidhaa zao mombasa...tena daily...jamaa anajaza zile coastar bidhaa mpka kw voti na wala hamana abiria
Yani mfanyabiashara wa tanga anabandari nyuma ya mgongo wake aje anunue nn mombasa wakat matunda yote yalioko kenya yanatoka tanzania 😆😆😆😆
 
Acha uongo wewe, eti bila Tanzania Kenya haipo. Kadanganye watu wa vijiweni huko.
Yes, Kenya haimo bila sisi. My friend, Sasa kama tu vitu vidogo vidogo kama Matunda na kabichi tunawalishia wabunge wenu vp multi investment nyingine na ajira tulizowapa hapa Tz tukiamua kuwaminya si ndo mtaumia sana wajameni? Au sio namuna hiyo wajemeni.
 
Kwanza watanzania hawana viwango hvo...hyo nafasi atapewa mhindi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu mbna mlichoma vifaranga na ng'ombe mliwapiga mnada...si mneliwachoma nao..wanafiki tu
 

Ni kweli kabisa mkuu nimefanya biashara ya mazao kwa muda sasa huku nakutana sana na waKENYA na ndo wanatupa changamoto sisi waBONGO wenye mitaji midogo maana huwa wanatabia ya kupandisha bei kwa wakulima inatuletea sana shida lakini hatujalalamika kokote kwa sababu tunaubinadamu na tunapenda amani kila mtu ale kwa jasho lake na urefu wa kamba yake.
Hawa jirani zetu wanategemea sana asilimia kubwa ya chakula kutoka kwetu yaan kiujumla sisi ndo tunailisha kenya.
Hayo ni machache tu na katika hili hatutaki kujua nani ataumia kama wao wataamua kutudeport waTZ toka kwao na sisi tukideport wao huku TZ kwa sababu iko wazi TZ ni nchi ambayo inajiweza kwa vitu vingi sana compare to all EAST AFRICA COUNTRIES hii ni nchi yenye neema tuna kila kitu so let’s do this then we will see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…