komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tutanunua uganda sisi...tutaacha kula machungwa na vitunguu..Hahahahaha, tutanuka meno sawa, na ninyi mtakufa kwa njaa, na viwanda vyenu vya nguo vitafungwa kwa kukosa pamba, hahahahaha, hahahahaha.