Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Hahahahaha, tutanuka meno sawa, na ninyi mtakufa kwa njaa, na viwanda vyenu vya nguo vitafungwa kwa kukosa pamba, hahahahaha, hahahahaha.
Tutanunua uganda sisi...tutaacha kula machungwa na vitunguu..
 
Mitusi imeshaanza...kwn silivia mlinge hamkumkataza kwel vibali..
Sikilizeni ninyi wakenya, kama mnadhani Tanzania iliwakosea, ni lazima mtumie njia tulizojiwekea kutafuta ufumbuzi, moja wapo ni kuomba maelezo toka kwa balozi wetu aliyepo Nairobi. Kamwe hatutoruhusu wahuni wenu huko wajaribu kutishia maisha ya watanzania.
 
Mkuu usiwatukane watanzania wenzio. Nasimamia tu hoja yangu palepale kwamba, biashara miongoni mwa nchi zote mbili ni jambo jema na la heri. Lakini kudharaulina na kukashifiana si sawa.

Na katika hili hata uandike vp, msimamo wetu kama watanzania ni Tz kwanza, heshma kwa nchi yetu ni jambo kubwa na la maana na the rest will be settled thereafter
 
Hahahahaha, tutanuka meno sawa, na ninyi mtakufa kwa njaa, na viwanda vyenu vya nguo vitafungwa kwa kukosa pamba, hahahahaha, hahahahaha.
Nakwambia mtarudi 80s...mpesa tunatoa,wawekezaji wanahama rwana ,na uganda..mara pap uchumi unaporomoka
 
Nakwambia msimu huu mtahoji sana...hamna mkenya atamhoji mtu amabae si tishio kw nchi
 
Chakula hata Uganda safari hii wamepungukiwa. Vipi kuhusu pamba ambayo hata Uganda wanategemea Tanzania?
Wuhuhuuu...tutalima...si kwamba eti mashmba hamna...ni serikali tu imeamua kuwacha biashara za kijamaa..
 
Nakwambia mtarudi 80s...mpesa tunatoa,wawekezaji wanahama rwana ,na uganda..mara pap uchumi unaporomoka
Wakati huo kwenu zaidi ya watu 5M, watakua tayari wameshakufa kwa njaa. Kenya kwa sasa ni namba 5 katika kuwekeza Tanzania, Kenya mumepitwa na Mauritius mwaka huu. Sio nchi muhimu tena hapa Tanzania.
 
Wakati huo kwenu zaidi ya watu 5M, watakua tayari wameshakufa kwa njaa. Kenya kwa sasa ni namba 5 katika kuwekeza Tanzania, Kenya mumepitwa na Mauritius mwaka huu. Sio nchi muhimu tena hapa Tanzania.
Sio tanzania pekeake...east and central africa tumewekeza.....

Njaa ya vitunguu na machungwa[emoji122][emoji122][emoji122]
 
kenya uwaga wanatuwazaga tangu kitamboo tuuu......af vitu vinavyo wafamya watoke povu ni vdg vdg tu....af wangejua si atuwawazagi coz c waimba taarabu
 
Sio tanzania pekeake...east and central africa tumewekeza.....

Njaa ya vitunguu na machungwa[emoji122][emoji122][emoji122]
Kitu cha kwanza ni chakula, kama huna chakula, wewe ni useless hata kama una viwanda vya kutengeneza ndege.
 
Usijibaraguze kana kwamba nimewatukana watanzania wenzangu. Ukitembea uchi maumbile yako yatakuwa bayana, usigombane na watakaokuita kwa sifa ya kibamia chako. Hukupaswa kutembea uchi karne hii iliyojaa mitumba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani nimecheka sana...si kitambo zifike meno si yatakua yamejeuka rangi
65% ya soko la toothpaste Tanzania limeshikwa na Whitedent, ambayo huko Kenya imeshika 20% ya soko la Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…