Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

there is no food you are exporting to UGANDA ..bring evidences here not thoughts from your ass ..Uganda is 3 times food secure than Tanzania
Japo Uganda itakua nchi ya mwisho kukumbwa na balaa la njaa kama Tanzania ikiamua kufunga mipaka yake, lakini nchi zote za EAC, na SADC kwa viwango tofauti, hutegemea chakula toka Tanzania.

Tanzania is a food basket for this region.
 
Kwa hiyo kulia maana yake ni kwamba wao wanatuhitaji sisi kuliko sisi tunavyowahitaji?? (Kwa tafsiri yako sasa)
Haswaaaaa , kumbe ni nini, shamba la bibi limefungwa , lazima walie.
 
Umenena ukweli , wanataka walete bidhaa kwa njia za panya halafu Tz tunakenua meno , haiwezekani wafuate sheria.
 
there is no food you are exporting to UGANDA ..bring evidences here not thoughts from your ass ..Uganda is 3 times food secure than Tanzania
Ninakusubiri, ulisema hatuwauzii chakula Uganda, wewe jua kwamba Tanzania ni baba yenu ktk ukanda huu.
 
Ikiwa vifaranga tu mlivichoma...mtashindwa...je ya silivia mlinge ni urongo pia
Hivo vifaranga vilivyochoma ndio mlieèeee, wakati mliviingiza bila utaratibu , shamba la bibi no.
 
Wakumbushe , wamesahau.
 
Go Magu Go Magu and Make Tanzania, Great Again!😀
Magu yupo saaana , magufuli wa Tz nyie kinauma nini , ongeleeni mambo yenu ya uhuruto, màgufuli funga shamba labibi, waKe waliieeee.
 
Majibu ya kijinga kabisa!

Kama kweli walikuwa wameingizwa ndani ya nchi, basi kuna uwendawazimu mkubwa nchini mwetu. Ina maana mpakani hakuna wakaguzi? Mzigo unapoingia nchini mwako, unakaguliwa wapi?

Lakini kwa ujumla maelezo yako ni ya uwongo.
 
Kabla ya kufungua mdomo wako, jaribu kujaza ubongo wako, usichangie japo usilolojua, unapaswa kuuliza kwanza, kwani vile vifaranga vilikamatiwa wapi?, ulipaswa kuuliza hivyo kwanza.
 
Tanzania wanaoomba ni hao wavivu wasiotaka kujishughulisha.
Lakin wengi wetu wenye kujishughulisha twala bata.
Na wala hatuna njaa kama watu wa. Turkana.
Mnajifaragua mna utajiri ilhali Africa nchi zinazokumbwa na njaa kumi bora Kenya ipo.i
 
Aaah hawa wakorofi bhana we mkenya nn?!
Hii mijitu inaobaguana yenyewe mkikuyu anamfanyia racism mkisii ni mijinga bora hata EAC ivunjike.
mlipokuwa mnaleta unyama kwenye vifaranga vya watu mlidhani mabwege wale , ni kipi alichoongea huyu mh unachoweza wewe kupinga ?
 
Tatizo la Wanasiasa hawjali sana matokeo, wao zaidi ni matakwa yao yatimie wakijua fika Waathirika wakuu wa kelele zao ni Wananchi wa kawaida.
 
Majibu ya kijinga kabisa!

Kama kweli walikuwa wameingizwa ndani ya nchi, basi kuna uwendawazimu mkubwa nchini mwetu. Ina maana mpakani hakuna wakaguzi? Mzigo unapoingia nchini mwako, unakaguliwa wapi?

Lakini kwa ujumla maelezo yako ni ya uwongo.

Mkuu, vifaranga vilinunuliwa na MTANZANIA KENYA, vikaingizwa nchini KIMAGENDO,,,vikakamatwa njiani...KWAKUWA MWENYE NAVYO HAKUWA NA ANY DOCUMENT,,KUONYESHA AMEVITA WAPI....BEST SOLUTION NIKUVICHOMA MOTO...NA KAMA NI HASARA ALIYEPATA HASARA NI MTANZANIA ALIYEVINUNUA KWANI ALILIPA CASH MKENYA ALIYEMUUZIA MKENYA ILA ALIYEPATA HASARA NI MTANZANIA... zipo sheria na taratibu za kufuata ili uweze ingiza mayai/vifaranga/kuku/ngombe na kadhalika,,,,
 
We kuku maji.
Mbona huyo jaguar wako kataja na Uganda ?!
Kama ni sis wakorofi mbona hakututaja sis peke etu?! Tanzania kama ndio worst neighbors mbona inakimbiliwa na majirani kuliko nchi yako?!
Huku kigamboni tuna warundi na waganda kibwena na wanakwambia dhahiri Tz ni nchi pekee EA unapoweza ishi utakavyo.
Wewe kama unapanga hadi appointment katka kutembeleana utaweza ishi vema na jirani?!
 
Kabla ya kufungua mdomo wako, jaribu kujaza ubongo wako, usichangie japo usilolojua, unapaswa kuuliza kwanza, kwani vile vifaranga vilikamatiwa wapi?, ulipaswa kuuliza hivyo kwanza.
Uankwepa swali zuri kabisa...mjibu mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…