Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

Wakenya na sifa zao za wizi sio Tz tu wanahofiwa. Leo enda dubai kwa mwarabu uone
Leo dubai kuna nn...nikutajie wanangu wenye wako dubai sai....na si waachuuzi kule....

Mbna wazanzibar wanawachukia....unakwepa hili swali kisa unajua ya kwamba nynyi ni wanafki
 
Bado kulala mika kuhusu Dada zao tunavyo wala hawajui tuna vumilia mengi yaani unamchukua Wangechi ana sura ya baba yake tofauti ni papuchi
Hahahaha umenichekesha sana mkuu ila kweli ukienda Nairobi ndio utajua wanawake wa Tz ni visu.
 
Iwekwe kwenye kumbukumbu hii.Pia nitashangaa sana ten years later kutatokea mwanasiasa hapa nyumbani anapigia debe muunga wa nchi za Afrika mashariki.Unaweza sema ooh wanaotamka hayo ni wapinzani lakini tujue wazi huo ndo uhalisia wa Wakenya
 
Huyo Slyvia Mulinge aliyekataliwa kibali kuwa Managing director wa Vodacom Tanzania ana digriii ya food science.Eti ndio walimleta awe mkurugenzi mkuu wa kampuni ya simu!!! Food sience na Telecommunication wapi na wapi.? Serikali iliona hawa Wakenya wanafanya Tanzania wajinga Fulani Tungempa tungeonekana kituko
Kwani serikali yenu ilikuwa mwajiri wake mbona Lumumba wapumbavu kila siku, hebu nikuulize serikali ilikuwa inamwajiri au ilikuwa inatoa kibali cha kufanya kazi? Ikiwa Voda waliridhika na degree take hiyo serikali yenu ilikuwa na justification gan kukataa kumpa kibali cha kazi? Jiangalie utaolewa punga wew.
 
Hahahahaha, kinachonifurahisha sana ni kwamba, " This seems to be a beggining of the end". Haya matamshi ya Duale hayawezi kuachwa hivi hivi.
1) Tunaliomba Bunge la Tanzania lianze kuzungumzia matamshi ya Duale na kutoa tamko.
2) Tunamuomba waziri mkuu apige marufuku biashara ya Mali ghafi na Kenya, ikiwemo Pamba, mahindi, Mpunga, na matunda.
3) Tunaomba ufanyike msako wa kuwatafuta wakenya wote wanaoishi na kufanya kazi kinyume cha sheria na kuwarudisha Kenya Mara moja.
 
Kama wanaona kula kabichi za Tanzania ni ishu kubwa wajiulize nguo na viatu wanavyovaa vinayoka wapi kama sio China, mbona hawasemi, na mbona huku maziwa toka Kenya yamejaa, hilo hawalioni?
Huyu mbunge ni mpumbavu na hajielewi na nadhani hajawahi kufika Tanzania akaona vile tulivo soko kuu la bidhaa zao wakati kule kwao hawaruhusu bidhaa yeyote kutoka kwetu.
 
Track rekodi gani upuuzi wa kupendeleana tu mtu kasomea chakula aliwezaje kuajiriwa safaricom? Ni kuajiriana kiupendeleo.Wameachwa Wakenya waliosomea mambo ya simu unaajiri mama ntilie au mama lishe cheo Cha injinia halafu unampandisha vyeo huyo mama ntilie kwenye kampuni ya simu Hadi anakuwa na cheo kikubwa baadaye unahalalisha uovu part two kuwa anastahili kushika post kubwa ya u managing director Vodacom eti ana uzoefu huyu!!!!!! Umeacha wakenya wenye sifa ili umpe mama ntilie hiyo kazi!!! Loo shenzi type .Huo uhuni bakini nao huko huko Kenya.Mama nitilie akawe Managing director kampuni ya mapishi Sio Vodacom.Huyo mama cheo kinachomfaa hata huko safaricom Kenya ni kuwa head wa kitchen attendants kwenye canteen ya kampuni ya safarrcom.Hicho ndicho cheo kinachomfaa kwa digriii yake ya food science.Hicho Cheo alichonacho safaricom ni ufisadi mkubwa.Mamlaka za kupambana na rushwa na ufisadi Kenya zituatilie
... wanachoangalia makampuni makini kama Vodacom and the like ni track record na previous output ya mtu na ndio hao ilikuwa wamwajiri; hakuwa amekuja Tz kuajiriwa na serikali yule bali kampuni binafsi ambayo ina vigezo vyake vya kuajiri.
 
Hahahahaha, kinachonifurahisha sana ni kwamba, " This seems to be a beggining of the end". Haya matamshi ya Duale hayawezi kuachwa hivi hivi.
1) Tunaliomba Bunge la Tanzania lianze kuzungumzia matamshi ya Duale na kutoa tamko.
2) Tunamuomba waziri mkuu apige marufuku biashara ya Mali ghafi na Kenya, ikiwemo Pamba, mahindi, Mpunga, na matunda.
3) Tunaomba ufanyike msako wa kuwatafuta wakenya wote wanaoishi na kufanya kazi kinyume cha sheria na kuwarudisha Kenya Mara moja.
Hahahaaaaa....mbna mpige marufuku....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]magu kadhihirisha km mnawaogopa wakenya kibiashara...kw sheria mlizowaekea mipakani...mbna thibitisho tosha...

Yani wakenya kuwatoa wachuuzi,omba,malaya,wauza mazao nao wawekewe vikwazo sawai na vile mlivyotuwekea...yani sai tunataka tuwafanyie km mnavyotufanyia...mbna heshima...

Kwanza kw hzo mali ghafi nimecheka sna...sisi tukiwabania bidhaa zetu,imagine mpka toothpic..havitajiki..ukienda kw duka la mtanzania ni km upo kenya tu ..kwanza dawa ya mswaki wiki tu mtanuka meno balaa
 
... wanachoangalia makampuni makini kama Vodacom and the like ni track record na previous output ya mtu na ndio hao ilikuwa wamwajiri; hakuwa amekuja Tz kuajiriwa na serikali yule bali kampuni binafsi ambayo ina vigezo vyake vya kuajiri.
Vigezo vilivyotumika kumwajiri dafaricom Ni vya kifisadi.Ni upendeleo wa wazi kabisa .Hakuwa na vigezo vya kuajiriwa post alizokuwa nazo safaricom kabebwa tu .CV yake na qualification zake zinaonyesha wazi ana ma godfather tu wa kumbeba hana kitu axceptional zaidi ya kuwa alikuwa akibebwa kuanzia kuajiriwa Hadi kupanda vyeo safaricom.Wamembeba kule weerr wakaamua kututupia migongoni watanzania tumbebe huyo mama lishe Kama managing director wetu wa vodacom
 
Hatutagombana na kenya we will take set back and relax taweka kafungu kwa alshabab watapigwa mpka watachakaa
 
huyu mbunge kaongea ukweli mtupu ,
sisi ndio tulikua wa kwanza kuleta nongwa za kubiashara. nataka anaye mpinga huyu mbunge apinge haya anayoyasema kama hatukufanya
Kenya unaifahamu vizuri mkuu., hizo bidhaa ziliingia nchini kihalali ? Niambie watu wangapi wewe unaowafahamu wameajiriwa kenya?sisi huku Tz ndio tunaibiwa kila kitu , hata kiswahili wao.walikidharau sasa hivi wamekipoka , wao ndio waalimu wa kiswahili , mkipata mtetezi mnambeza , kweeli akili ya baadhi ya watanzania imelala usingizi.
 
Tutabana km trump...wa mexico waliwatatiza sana...walivyowabania...sai si wanateseka...

Yani kila mtu akae kwao...ndio muone faida ya ushirikiano
 
Walivyochukua ndege zetu walijua sisi maboya tumepotezea eeh, kibao kimegeukaa[emoji1787][emoji1787]
Mbunge wa Garisa mjini nchini Kenya Aden Duale amesema haungi matamshi ya Jaguar ila kuna mambo ya ovyo yanayofanywa na Rais Magufuli dhidi ya wakenya ambayo yanawakera sana

Amesema tangu Rais Magufuli aingie madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ya ovyo sana,"walikamata kuku zetu wakachoma,wakakamata ng'ombe wetu wakapiga mnada,hivi vitendo si vya kiungwana kabisa" Alisema mbunge huyo ambaye ni mwenyekiti wa wabunge walio wengi bungeni

Aliongeza kusema ni haki serikali ilinde nafasi za kazi kwa wakenya ,kwani hata mkurugenzi wa Safaricom alizuiliwa kufanya kazi Vodacom Tanzania na serikali ya Tanzania kisa kulinda kazi za watanzania

My take,haya mambo yasipoingiliwa kideplomasia huenda kuna anguko lingine la jumuiya ya Afrika Mashariki linakuja

Source BBC
 
Vigezo vilivyotumika kumwajiri dafaricom Ni vya kifisadi.Ni upendeleo wa wazi kabisa .Hakuwa na vigezo vya kuajiriwa post alizokuwa nazo safaricom kabebwa tu .CV yake na qualification zake zinaonyesha wazi ana ma godfather tu wa kumbeba hana kitu axceptional zaidi ya kuwa alikuwa akibebwa kuanzia kuajiriwa Hadi kupanda vyeo safaricom.Wamembeba kule weerr wakaamua kututupia migongoni watanzania tumbebe huyo mama lishe Kama managing director wetu wa vodacom
... serikali siku hizi inasimamia sifa za kitaaluma/kitaalam za kuajiriwa katika makampuni na sekta binafsi?
 
Hahahaaaaa....mbna mpige marufuku....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]magu kadhihirisha km mnawaogopa wakenya kibiashara...kw sheria mlizowaekea mipakani...mbna thibitisho tosha...

Yani wakenya kuwatoa wachuuzi,omba,malaya,wauza mazao nao wawekewe vikwazo sawai na vile mlivyotuwekea...yani sai tunataka tuwafanyie km mnavyotufanyia...mbna heshima...

Kwanza kw hzo mali ghafi nimecheka sna...sisi tukiwabania bidhaa zetu,imagine mpka toothpic..havitajiki..ukienda kw duka la mtanzania ni km upo kenya tu ..kwanza dawa ya mswaki wiki tu mtanuka meno balaa
Kama Duale alivyosema, ukifika Namanga, malori yanayokuja Kenya ni foleni yenye urefu wa KM 5, lakini kutoka Kenya hayazidi malori 10.

Anya way, ngoja Bunge la Tanzania lijadili kauli ya Duale, na tuanze kuzuia biashara kati ya Kenya na Tanzania ndio itajulikana nani mwenye umuhimu kati ya Kenya na Tanzania. Ninyi mubaki na toothpicks zenu, na sisi tubaki na mahindi na pamba zetu.
 
Back
Top Bottom