jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Unataka aseme jambo gani tena?Hapana, kumhoji huyo CEO ni jambo jema maana alitajwa na mtu mkubwa kwamab ni mtoa taarifa kuhusu wakenya na ubaya wanayofanyiwa Tanzania.
Na taarifa zake ndizo zilizompa Duale nguvu ya kuwasilisha hoja zake bungeni. Na mbunge huyo huyo kaunganisha dots kadhaa na kumkashifu Rais wa nchi wa nchi yetu.
Ikiwa hakuna sababu ya kumhoji huyo CEO wa Baclays basi hakuna pia sababu za kuhoji hizi tensions zote. Otherwise are inseparable...
Amesema wananyanyaswa full stop.
Je ni mkweli ama si mkweli, ndipo nikakuuliza kama unajua sababu za wafayabishara kualikwa kukutana na Rais, ifahamike kuwa minong'ono ya chini chini kuwa sababu za wafanyabiashara wengi kufunga biashara zao ni kutokana na "MANYANYASO" wanayoyapitia. Sasa mnong'ono huo haujatuacha salama umeibukia ughaibuni. Kumtetea Rais kwa hili ni wendawazimu
Tujisahihishe haraka kabla hatujachelewa.