Mbunge Gekul afika kwenye Madhabahu, adai tuhuma za unyanyasaji "Ule ni Uongo"

Kama kweli hakufanya basi Mungu ambariki na kumpa nguvu mpya ya kupambana na maadui zake,lakini kama ameamua kudanganya watu tena madhabahuni mbele ya viongozi wa dini akidhani atamdanganya Mungu iwe kwa maslahi ya kisiasa au maslahi ya kiuchumi basi Mungu ampe adhabu kali atakayoona inamfaa kuanzia leo hadi atakapoiacha dunia na huko atakapokwenda asiwe na mapumziko mema.
 
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."

Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."

Soma, Pia:
Babati Jimbo linaondoka! Tafyta kazi nyingine
 
kweli ile ilikua drama iliyotungwa kwa ustad mkubwa na ma script writers wa vyama vya siasa,

wanamaigizo nidiyo hawakuitendea haki 🐒

Inawezekana alisingiziwa na pia inawezekana ni kuelekea 2025.
Wahuni kazini bwashe, Pauline 2020 kwenye kura za maoni alishindwa akashika nafasi ya 3......wale jamaaa hawakukubali kizembe wakamla kichwa😁saiv anatapa tapa
 
Ana roho na moyo mbaya sana huyo mwanamke, hafai hata kuwa mbunge wa CCM, naamini anajua kabisa 2025 CCM itamtupilia mbali kabisa, unyama aliofanya ni mbaya sana sana, ingekuwa nchi zingine ungekuta yuko kifungoni siku nyingi sana.
 
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."

Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."

Soma, Pia:
of course, naamini yeye hakushika chupa na kupanua makalio ya dogo na kuiingiza. hata ingekuwepo cctv camera ingeonyesha hivyo. alitakiwa aende mbali zaidi kufafanua kama wafuasi wake aliokuwa nao kwenye tukio hawakufanya hivyo, kwa sababu kama kufanya si inasemekana ilikuwa part of interrogation. kama yeye anamwogopa Mungu, aseme hapa kama na wale aliokuwa nao kumkamata dogo hawakufanya? tungeelewana hapo kwanza.
 
Nami nililisema hili mapema,

Lilikua igizo la kutumika kumuondoa Ofisini .

Njia hii Si njema.
 
of course, naamini yeye hakushika chupa na kupanua makalio ya dogo na kuiingiza. hata ingekuwepo cctv camera ingeonyesha hivyo. alitakiwa aende mbali zaidi kufafanua kama wafuasi wake aliokuwa nao kwenye tukio hawakufanya hivyo, kwa sababu kama kufanya si inasemekana ilikuwa part of interrogation. kama yeye anamwogopa Mungu, aseme hapa kama na wale aliokuwa nao kumkamata dogo hawakufanya? tungeelewana hapo kwanza.
Umeongea kama mpagani.

Jifunze kuandika Kwa BUSARA kama mwana wa Mungu.
 
Huyu mama ni Gaidi
 
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."

Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."

Soma, Pia:
Huyu ni mhuni TU!
 
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.

Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.

“Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena.”

Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.

“Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni.”
 
Attachments

  • 1733130920424.jpg
    1733130920424.jpg
    256.4 KB · Views: 2
  • 1733130936269.jpg
    1733130936269.jpg
    312.9 KB · Views: 2
  • 1733130943478.jpg
    1733130943478.jpg
    247.7 KB · Views: 2
kweli ile ilikua drama iliyotungwa kwa ustad mkubwa na ma script writers wa vyama vya siasa,

wanamaigizo nidiyo hawakuitendea haki 🐒
Mzee wa hovyo Makamba lazima uje utetee wahovyo wenzio. Mlaaniwe nyie kwa maslahi mapana ya taifa letu
 
Umeongea kama mpagani.

Jifunze kuandika Kwa BUSARA kama mwana wa Mungu.
Wewe na Gekul na wachungaji wenu wa pesa ndio mnaongea kama wana wa Mungu? Atueleze kwa capacity gani aliyo nayo kumkamata na kumfanyia mahojiano huyo kijana, mnataka kutumia kanisa kuficha maovu yenu wanaharamu nyie.

Mnajitahidi kutaka kujisafisha, tulimsikia katili muuaji mwingine aliyepigwa marufuku kuingia USA akijitetea kwenye press conference aliyoitisha pale Arusha bwana DAUDI ALBERT BASHITE. Alikuwa kama mjinga fulani MUUMBA hadhihakiwi nyinyi wajinga
 
Back
Top Bottom