Babati Jimbo linaondoka! Tafyta kazi nyingineMbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."
Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."
Soma, Pia:
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."
Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."
Soma, Pia:
Watakuja kufanyiwa hata watoto wakefisi maji!
malipo ni hapahapa duniani, acha walindane tu ILA Mungu hana huo upuuzi.
Ukizima data dakika 5 tu kosa..Nchi hii kila sehemu kuna matukio, haipoi haiboi
Wahuni kazini bwashe, Pauline 2020 kwenye kura za maoni alishindwa akashika nafasi ya 3......wale jamaaa hawakukubali kizembe wakamla kichwa😁saiv anatapa tapaInawezekana alisingiziwa na pia inawezekana ni kuelekea 2025.
of course, naamini yeye hakushika chupa na kupanua makalio ya dogo na kuiingiza. hata ingekuwepo cctv camera ingeonyesha hivyo. alitakiwa aende mbali zaidi kufafanua kama wafuasi wake aliokuwa nao kwenye tukio hawakufanya hivyo, kwa sababu kama kufanya si inasemekana ilikuwa part of interrogation. kama yeye anamwogopa Mungu, aseme hapa kama na wale aliokuwa nao kumkamata dogo hawakufanya? tungeelewana hapo kwanza.Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."
Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."
Soma, Pia:
Unafki mtupu huko
Na ukiona mtu anakombilia sana
Huko muogope
Ukiona mtu ni swalaaa 5 au kutwa kanisani kwa sana kaaa naye mbali
Ova
Nami nililisema hili mapema,Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."
Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."
Soma, Pia:
Umeongea kama mpagani.of course, naamini yeye hakushika chupa na kupanua makalio ya dogo na kuiingiza. hata ingekuwepo cctv camera ingeonyesha hivyo. alitakiwa aende mbali zaidi kufafanua kama wafuasi wake aliokuwa nao kwenye tukio hawakufanya hivyo, kwa sababu kama kufanya si inasemekana ilikuwa part of interrogation. kama yeye anamwogopa Mungu, aseme hapa kama na wale aliokuwa nao kumkamata dogo hawakufanya? tungeelewana hapo kwanza.
Huyu mama ni Gaidiof course, naamini yeye hakushika chupa na kupanua makalio ya dogo na kuiingiza. hata ingekuwepo cctv camera ingeonyesha hivyo. alitakiwa aende mbali zaidi kufafanua kama wafuasi wake aliokuwa nao kwenye tukio hawakufanya hivyo, kwa sababu kama kufanya si inasemekana ilikuwa part of interrogation. kama yeye anamwogopa Mungu, aseme hapa kama na wale aliokuwa nao kumkamata dogo hawakufanya? tungeelewana hapo kwanza.
Huyu ni mhuni TU!Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa.
Ibada hiyo ya shukrani aliyoifanya katika kanisa la kiinjili la kilutheri KKKT lililopo Babati mjini Gekul amesema ni sehemu ya kupata faraja na kumrudishia Mungu shukrani kwa mapito magumu aliyopitia na kusema ni muda sasa wa wananchi kujua ukweli uliopo na kuacha kumnenea mabaya.
"Leo nimeshukuru kanisani na nadhani kuendelea kuhukumiwa kilasiku kwa masuala ya uongo si sahihi watu wajue ukweli, kwasababu kwa mwaka mzima huu wakati natuhumiwa watu wakiongea kama sio maombi yenu viongozi wa dini mimi binafsi nisingeweza kuishi tena."
Aidha Gekul amesema ni dhahiri kuwa Mungu amemjibu maombi yake kwani hata ripoti ya kitabibu baada ya vipimo imeonesha wazi kuwa kijana huyo hakuwa na majeraha yeyote kwenye mwili wake wala dalili zozote za yeye kuingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa na hata alivyofika kituo cha polisi alieleza kuwa amepigwa na mtu asiyejulikana, sasa ameamua kuyasema hayo ili watanzania wote wajue ukweli na kupunguza maumivu mazito aliyoyabeba tangu jambo hilo lilipozushwa.
"Walivyofika polisi, huyo kijana akasema amepigwa na mtu asiyejulikana, kwanini hawakwenda na kusema Paulina ndo amewapiga na kuwadhuru? Nimeona mwaka huu wakati namaliza nimshukuru Mungu moyo wangu niukung’ute niseme kila kitu ili na mimi nisiendelee kutembea kama roboti na kulia moyoni."
Soma, Pia:
WanFki hatari kwa dunia ya sasa watu namba moja wa kuogopewaKabisa wanakuwaga washenzi sana.
Mzee wa hovyo Makamba lazima uje utetee wahovyo wenzio. Mlaaniwe nyie kwa maslahi mapana ya taifa letukweli ile ilikua drama iliyotungwa kwa ustad mkubwa na ma script writers wa vyama vya siasa,
wanamaigizo nidiyo hawakuitendea haki 🐒
Wewe na Gekul na wachungaji wenu wa pesa ndio mnaongea kama wana wa Mungu? Atueleze kwa capacity gani aliyo nayo kumkamata na kumfanyia mahojiano huyo kijana, mnataka kutumia kanisa kuficha maovu yenu wanaharamu nyie.Umeongea kama mpagani.
Jifunze kuandika Kwa BUSARA kama mwana wa Mungu.
💯💯Unafki mtupu huko
Na ukiona mtu anakombilia sana
Huko muogope
Ukiona mtu ni swalaaa 5 au kutwa kanisani kwa sana kaaa naye mbali
Ova
Waumini haturuhusiwi kupanda kwenye madhabahu lakini mbele ya dinari mchungaji anatamani akubebe na kukuweka kwenye madhabahu na kuwa mnyenyekevu mbele ya mshirika.Bahasha lazima ilikuwa kama na lakini 5 hivi