Mbunge Gekul afika kwenye Madhabahu, adai tuhuma za unyanyasaji "Ule ni Uongo"

Waumini haturuhusiwi kupanda kwenye madhabahu lakini mbele ya dinari mchungaji anatamani akubebe na kukuweka kwenye madhabahu na kuwa mnyenyekevu mbele ya mshirika.
Watu huwa wanatoa shukrani ya pekee kila j2 lakini hawajawahi kupewa mic ukiona umepewa mic ujue bahasha yako nimeishiba?
 
Kwa hiyo kapeleka ropoti ya Tume kama ushahidi Kanisani? Mwambieni Mungu anajua Kila kitu asijibalaguze.
 

Huyu sura ukiitazama tu imekaa kikatili.
 
Fisiem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…