The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Taratibu injili ya NO REFORMS, NO ELECTION inaanza kuwaingia hata waliokuwa na mioyo migumu kama chuma ndani ya CCM...
Huyu hapa kwenye video hii ni Mbunge wa CCM jimbo la Mlimba, wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro..
Kwa tahadhari kubwa, (bila shaka akihofia kusonywa na wenzake) huku akichagua maneno ya kuongea kwa umakini, Roho Mtakatifu wa Mungu amwongoza kuihubiri injili ya "HAKI" ndani ya Bunge la wana CCM wenzake...
Mtazame na msikilize👇🏻👇🏻
View: https://youtu.be/PNbSc4ijnh4?si=GSGHqY3jVeUZQBXs
➡Anaanza kwa kusema "jamani duniani si makazi yetu, tunapita tu. Hebu tuishi kwa kuitenda HAKI". Anasisitiza huku akinukuu maandiko matakatifu kutoka Biblia - Neno hai la Mungu wa mbinguni kutoka:
➡Anaanza kwa kuwaambia wenzake;
➡Baada ya kumsikiliza huyu m-CCM naanza kuiona roho ya "TOBA" kwa baadhi ya "WASIOJULIKANA". Na binafsi, naiona nuru mbele kidogo tu. Tunaanza kutoka kwenye giza la mauti liitwalo "CCM" lililotufunika kwa miaka 64 sasa...
Asante YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI kwa neema ya Ukombozi aliyoiachilia kupitia kwa mtumishi wake aliyeko gerezani Ndugu Tundu Lissu...

ZABURI 90:10
"....Siku za miaka yetu ni miaka 70, na ikiwa tuna nguvu miaka 80; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, maana chapita upesi tutatokomea mara..."

"...Jamani duniani hapa si makazi yetu, tunapita tu. Biblia inasema, miaka yetu ya kuishi duniani ni 70 tu ikizidi ni 80 lakini kwa taabu maana hata kama una suti ya TZS 1,000,000 hata kuivaa unaweza usiivae na hata ukivaa hutapendeza kwa sababu ya mwili wa uzee uliokwisha kukunjamana. Hata kula chakula kwa wengi huwa ni kwa taabu kwelikweli. Sasa yanini yote haya? Kwanini tutendeane ubaya kana kwamba tutaishi milele hapa duniani. Hebu tuishi kwa kupendana na kutendeana HAKI. Wenye madaraka na mamlaka (vyombo vya dola) wasiwaonee watu kwa kutumia madaraka yao vibaya (abuse of power) kwa kuwatafutia makosa na kubambikizia kesi wengine..."