Haya endelea kuwasifia akina Nape .Sasa kama wewe mjanja domo la nini?
Ni kama wale mlioambiwa na Magufuli msije na mavi yenu mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya endelea kuwasifia akina Nape .Sasa kama wewe mjanja domo la nini?
Ni kama wale mlioambiwa na Magufuli msije na mavi yenu mjini.
Una tofauti gani na wale wazee wa zamani waliokuwa wanapewa shanga huku wakiachia mali asili iende? Wale watia saini za madole gumba? Huna! Na hili ndilo tatizo la watanzania wengi. Kanga au kitenge kinatosha kuuza utu wake na kura akauza. Ubinafsi wa kiwango kikubwa sana. Ona kama wewe ka-eneo ka-kujenga ulikohakikishiwa hutanyangwa ndiyo inakufanye uimbe sifa na kutukuza na kusahau utawala mbovu unavyoangamiza wananchi! And you know what? Hujui hatari iliyo mbele yako. Kuna siku utakumbuka haya maneno!Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi.
Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi.
Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90.
Eneo letu ni la milima na mabonde, na huko nyuma wizara ya ardhi ilipima kama eneo la viwanda.
Wengi waliopewa maeneo hayo ya milima na mabonde waliyakimbia na kwenda kwingine kuliko tambarare zaidi, maeneo ambayo ni bora kwa viwanda.
Katika miaka ya karibuni matapeli kwa kutumia wanasheria na vile vile kwa kuwatumia wanasiasa fulani, wamekuwa wakizunguka zunguka kutaka kuwabomolea wananchi nyumba zao.
Mwanasiasa aliye nyuma ya sakata hili tunasikia ni yule alikuwa mkuu wa mkoa Awamu ya tano.
Wanatafuta maeneo ya bwerere.
Tunamshukuru mbunge Gwajima kwa kuwaleta Waziri Nape na Naibu waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete na kutuhakikishia kuwa eneo hilo hati za viwanda vimefutwa na maeneo yatarasimishwa kwa wananchi.
Huu ni ukombozi, na sasa amani imerudi kwa wananchi wa Mbezi Jogoo.
Tunaishukuru sana Awamu ya Sita chini ya Mama Samia.
Mkuu unayekula vizuri na kujiamini kisiasa.Una tofauti gani na wale wazee wa zamani waliokuwa wanapewa shanga huku wakiachia mali asili iende? Wale watia saini za madole gumba? Huna! Na hili ndilo tatizo la watanzania wengi. Kanga au kitenge kinatosha kuuza utu wake na kura akauza. Ubinafsi wa kiwango kikubwa sana. Ona kama wewe ka-eneo ka-kujenga ulikohakikishiwa hutanyangwa ndiyo inakufanye uimbe sifa na kutukuza na kusahau utawala mbovu unavyoangamiza wananchi! And you know what? Hujui hatari iliyo mbele yako. Kuna siku utakumbuka haya maneno!
VIPI yule MSALITI Wa KIKE ?Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi.
Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi.
Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90.
Eneo letu ni la milima na mabonde, na huko nyuma wizara ya ardhi ilipima kama eneo la viwanda.
Wengi waliopewa maeneo hayo ya milima na mabonde waliyakimbia na kwenda kwingine kuliko tambarare zaidi, maeneo ambayo ni bora kwa viwanda.
Katika miaka ya karibuni matapeli kwa kutumia wanasheria na vile vile kwa kuwatumia wanasiasa fulani, wamekuwa wakizunguka zunguka kutaka kuwabomolea wananchi nyumba zao.
Mwanasiasa aliye nyuma ya sakata hili tunasikia ni yule alikuwa mkuu wa mkoa Awamu ya tano.
Wanatafuta maeneo ya bwerere.
Tunamshukuru mbunge Gwajima kwa kuwaleta Waziri Nape na Naibu waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete na kutuhakikishia kuwa eneo hilo hati za viwanda vimefutwa na maeneo yatarasimishwa kwa wananchi.
Huu ni ukombozi, na sasa amani imerudi kwa wananchi wa Mbezi Jogoo.
Tunaishukuru sana Awamu ya Sita chini ya Mama Samia.
Mengine yanajibiwa shimoni Chato, kwa aliyewateua.
Mbona angesema Kigogo 2014 katusaidia maana ndio haoNape alikuja kuwasadia kama nani. Au ni kwa vile Nape na Ridhiwani wote ni watoto wa Msoga.
Nipo kwenye kamati ya urasimishaji beans Jirani, hakika Ridhiwani ametusaidia sana.Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi.
Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi.
Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90.
Eneo letu ni la milima na mabonde, na huko nyuma wizara ya ardhi ilipima kama eneo la viwanda.
Wengi waliopewa maeneo hayo ya milima na mabonde waliyakimbia na kwenda kwingine kuliko tambarare zaidi, maeneo ambayo ni bora kwa viwanda.
Katika miaka ya karibuni matapeli kwa kutumia wanasheria na vile vile kwa kuwatumia wanasiasa fulani, wamekuwa wakizunguka zunguka kutaka kuwabomolea wananchi nyumba zao.
Mwanasiasa aliye nyuma ya sakata hili tunasikia ni yule alikuwa mkuu wa mkoa Awamu ya tano.
Wanatafuta maeneo ya bwerere.
Tunamshukuru mbunge Gwajima kwa kuwaleta Waziri Nape na Naibu waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete na kutuhakikishia kuwa eneo hilo hati za viwanda vimefutwa na maeneo yatarasimishwa kwa wananchi.
Huu ni ukombozi, na sasa amani imerudi kwa wananchi wa Mbezi Jogoo.
Tunaishukuru sana Awamu ya Sita chini ya Mama Samia.
Kuna watu kinawauma sana kuwashukuru, Gwajima, Nape na Ridhiwani.Nipo kwenye kamati ya urasimishaji beans Jirani, hakika Ridhiwani ametusaidia sana.