Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

Una tofauti gani na wale wazee wa zamani waliokuwa wanapewa shanga huku wakiachia mali asili iende? Wale watia saini za madole gumba? Huna! Na hili ndilo tatizo la watanzania wengi. Kanga au kitenge kinatosha kuuza utu wake na kura akauza. Ubinafsi wa kiwango kikubwa sana. Ona kama wewe ka-eneo ka-kujenga ulikohakikishiwa hutanyangwa ndiyo inakufanye uimbe sifa na kutukuza na kusahau utawala mbovu unavyoangamiza wananchi! And you know what? Hujui hatari iliyo mbele yako. Kuna siku utakumbuka haya maneno!
 
Mkuu unayekula vizuri na kujiamini kisiasa.
Mpambanaji unayekunya mavi makubwa.
Wewe ridhika na ukwasi wako, sisi hohe hahe tunawahitaji wale watakaotatulia kero zetu.
 
VIPI yule MSALITI Wa KIKE ?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Nipo kwenye kamati ya urasimishaji beans Jirani, hakika Ridhiwani ametusaidia sana.
 
Nipo kwenye kamati ya urasimishaji beans Jirani, hakika Ridhiwani ametusaidia sana.
Kuna watu kinawauma sana kuwashukuru, Gwajima, Nape na Ridhiwani.
Ni wanaharakati wasiojua lobbying na kutatua matatizo yao kistaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…