anadhan madaraja yanajengwa kwa visomo na maombiHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
TangagizaHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kutuletea wabunge kama hawaHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Was visomo na maombi necessary? 😂anadhan madaraja yanajengwa kwa visomo na maombi
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Daah😅😅😅.Habari wakuu,

Huyu ni Shamsi Vuai Nahodha Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar (cheo kama Waziri Mkuu wa Bara). Yaani huyo analipwa pensheni na serikali mpaka kufa kwake, na mshahara kama wa Waziri Mkuu wa huku bara.Yani inatia hasira kama uyu ndo mwakilishi wa wananchi kuendelea kazi ipo
Kutunga sentensi zenye mantiki kwa kuzingatia kiima na kiarifu 😁kuchanganua sentensi kwa njia ya matawi kumekusaidia nini ndugu
hawa ndo utasikia, "tunamshukuru mama kwa kutujengea daraja linalonesa ukipita na gari", hajui kuwa huko kunesa kuna maana yake na watu wameumiza vichwa kuweka huo mneso.anadhan madaraja yanajengwa kwa visomo na maombi
Kiongozi mpumbavu ukuza vipaji vya upumbavu ...huyo mbunge ni matunda ya SamiaHabari wakuu,