Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu

Hivi huyo mbunge mpumbavu jina lake ni nani ?😁😁😁😁 suti na tai ajijamsitiri na upumbavu wake ni kama hijabu tu ....hijabu wanavaa na upumbavu wanao
 
Huyu ni Shamsi Vuai Nahodha Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar (cheo kama Waziri Mkuu wa Bara). Yaani huyo analipwa pensheni na serikali mpaka kufa kwake, na mshahara kama wa Waziri Mkuu wa huku bara.

Sasa kama 2025 ni mjinga hivyo, fikiri alikuwa mjinga kiasi gani 2010 alipokuwa waziri kiongozi Zanzibar😆
Kumbe ni muislamu basi ni sawasawa kumiliki akili kama hizo.....mtu awezi kuwa muislamu na akawa na akili
 
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu

Yupo sahihi lakini CCM kawaida ina wabunge uchwara ila kwa hili hajakosea. Hata wewe jiulize, hiyo Quadric Equation na Periodic Table imekusaidia nini maishani.
 
Nimeshangaa na kuogopa sana kwa hoja alizozitoa! Yaani hajui kwamba quadratic equation ni muhimu sana katika branch of mathematics? Wataalam kama vile engineers, architects etc wataweza kupatikana vipi bila kusoma hiyo topic at early stages?

Vilevile kuhusu periodic table wataalam kama medical doctors, pharmacist etc watapatikana vipi bila kusoma hiyo topic?

Kweli bado tunasafari ndefu sana.
Alafu ni mtu mzima kabisa, yeye angesema watu wasispecify kwenye carrier mapema ili watumikie taifa mapema na sio ujinga huo, hivi yeye haoni aibu? Hahah
 
Naona Sokwe aliechangamka...haelewi hili wala lile...imagine huyu ni mzazi ..mume..babu...aibu sana...
Ndio maana hawataki reforms ili mitakataka kama hii iendelee kuharibu generation na generation..
Sad indeed
 
AIBU KUU...huyu amevunja rekodi ya Mzee wa MPOX...hivi huko CCM huwa kuna nini? walamba nini kabla ya kuja hadharani?..kwenye vikao vyao huwa wanajadiliana nini labda??
 
Binadamu wa aina hii ni kama mifugo tu.

Hawana maarifa ya mambo yanayategemeza maisha ulimwenguni.

Kama wasingekuwa wanalipwa kwa kodi zetu ningesema wapuuzwe tu.
 
Back
Top Bottom