Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 502
- 1,337
Aisee 😂 na ndio mahali hizi nchi za watu weusi zinakwama kwenye umaskini. Unakuta kiongozi mkubwa wa nchi na wasaidizi wake wote vilaza 😂Huyu ni Shamsi Vuai Nahodha Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar (cheo kama Waziri Mkuu wa Bara). Yaani huyo analipwa pensheni na serikali mpaka kufa kwake, na mshahara kama wa Waziri Mkuu wa huku bara.
Sasa kama 2025 ni mjinga hivyo, fikiri alikuwa mjinga kiasi gani 2010 alipokuwa waziri kiongozi Zanzibar😆