Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Wewe ulisoma wapi!Kumbe ni muislamu basi ni sawasawa kumiliki akili kama hizo.....mtu awezi kuwa muislamu na akawa na akili
Asad alikuwa dini gani?
Magufuli alikuwa dini gani?
Wewe ulisoma wapi!Kumbe ni muislamu basi ni sawasawa kumiliki akili kama hizo.....mtu awezi kuwa muislamu na akawa na akili
Yeye amezungumzia ngazi za chini, na ukweli mchungu ndo huo ngazi za chini elimu yetu ni kama kokoro; ni mwendo wa kuzoa zoa tu kana kwamba tunafanya majaribio ya kujua nani atafahamu nini kati ya haya tutakayowafundishwa! Lakini pamoja na hayo, hoja yangu ya msingi sio hiyo ni jinsi watu wanavyoponda hapa lakini ukweli ni kwamba hata hao wanaoponda wala hawajui hizo quadratic equations zinatumika kwenye nini kwa sababu na wenyewa walisombwa sombwa tu na mfumo wa ovyo wa elimu!Sasa hilo ndo tatizo wewe unatumia kwenye research yeye waziri kwamba alikua anakuta hesabu za kutoa na kujumlisha tu? Kwa mujibu wake izo mambo watu wakajifunze wenyewe badala ya serikali kuwekea mkazo Zaid watu wengi wajue unazani ni sawa hii?
Sidhani kama kuna anayesema VETA kuna ujuzi kuliko chuo lakini ukweli ni kwamba, huku mtaani ni Wahitimu wa VETA ndio wanatumika sana kuliko hao ma-engineer! Bila shala ukifanya survey unaweza kukuta katika kila nyumba 10 unazopita basi angalau moja ina changamoto inayomhitaji fundi lakini fundi huyu sio Engineer bali yule wa levels za VETA! Mimi mwenyewe hapa feni yangu mbovu! Do I need an engineer? Hapana, bali Mwamba wa VETA au "Fundi Maiko"!Kuna ujinga unaendelea sana apa nchini watu wanakwambia veta kuna ujuzi kuliko chuo wanasahau veta ni course za engineering zs ngazi ya chini ndo izo level 2 level 3 fikilia civil ndo mafundi ujenzi, electronics ndo mafundi simu, electrical ndo mafundi umeme, mechanical ndo mafundi gerage na mitambo, interior design na architect ndo mafundi mapambo ya nyumba.
Chifu, hakuna mwenye akili timamu anayeweza ku-ignore Wataalamu wa Jambo Fulani lakini tatizo watu tunapenda sana kuchukulia mambo out of context! Issue ni kwamba, sio kila tatizo ni la kupeleka kwa mtu mwenye digrii! Hata wewe ukijisikia homa hapo hauendi Muhimbili waliko specialties bali utaenda kizahanani cha jirani ambacho unajua kabisa huenda waliopo hapo hata diploma hawana!! Hivi leo hii nyumba yangu ina shot ndo nitafute Electrical Engineer?! Wapo walio kwenye huo mfumo lakini majority wanafanya maamuzi kutokana na ukubwa pamoja na unyeti wa tatizo!Nije kwa field yangu nnayo ijua electronics kuna tofauti kubwa ya fundi wa veta na mtu aliesoma electronics chuo kuanzia kwenye ubora wa kazi ad utibuji wa tatzo kama huamini nenda kwa fundi wa mtaani kisha nenda kkoo tafta fundi kasoma electronics au computer engineering ndo utajua
hizo ulitumia kujibia mtihani tuSiku huyu mzee wangu akijua kuwa kuna hesabu za calculus atapigana bungeni huyu
Sasa bila periodic table unaisomaje hiyo chemistry..??
wewe mlugaluga hebu acha kelele...Suti zinaficha ujinga mara ingine
Eti ooh hajui matumizi ya quadratic Equation kwenye maisha aisee
Quadratic equations are used in many real-life situations, especially where relationships involve acceleration, area, or optimization. Here are some practical examples:
- Projectile motion: When you throw a something, its height over time follows a quadratic equation due to gravity. It's used in sports, physics, and engineering to predict where that thing will land.
- Engineering and construction: Quadratic equations help calculate forces, trajectories, and dimensions—e.g., designing parabolic arches or satellite dishes.
- Business and economics: Quadratics model profit and revenue, especially when analyzing maximum profit or minimum cost based on price or production levels.
- Computer graphics: Parabolas (quadratic curves) are used in animations, game physics, and simulating realistic motion.
- Agriculture and land planning: Quadratic equations help maximize planting area or calculate fencing needs for rectangular plots when one side is fixed.
weka hapa ushahidi ulivyozitumia kwenye huo uhandisi hapa bongo nikukamate na uongo.....Kwa Sisi engineers we know zinapotusaidia wewe kama hazikusaidii jiunge na ng'ombe wenzio
La saba BHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Daktari akikuandikia dawa na kusema hakuna side effects, huku inserts zikionesha kuna heavy metals,. Kama unajua periodic table, na kuelewa reactivity series na atomic masses za hizo elements unaweza mwambia daktari anywe mwenyewe. Ila kama hujui utabugia tuu, matokeo yake baadae unapata autoimmune disease bila kujua ugonjwa umetoka wapi.Yupo sahihi lakini CCM kawaida ina wabunge uchwara ila kwa hili hajakosea. Hata wewe jiulize, hiyo Quadric Equation na Periodic Table imekusaidia nini maishani.
Chukulia una eneo la mita za mraba 48 unataka kuligawa kwa urefu wa mita mbili zaidi ya upana. Kwa kutumia quadratic equations unaweza kupata suluhisho la urefu wa mita sita kwa mita nane.Nimesikitika sana! Nimepitia posts karibu zote lakini ukitoa posts za Kiranga na Shotocan, wengine wote wamebaki kuponda tu na angalau wawili miongoni mwao wao wamefikia hadi kuingiza upumbavu wa udini lakini bado wameshindwa kutuambia akina sie tuliosoma arts umuhimu wa hao akina quadratic equations ingawaje binafsi naitumia tumia kidogo kwenye research! Inaonesha wengi tupo au mpo sawa na huyo mzee, yaani hamjui lakini kwavile JF kila mtu ni msomi na tajiri anaye-drive Range, ndo lazima tuponde ili tuonekane sisi tunajua!!
Acheni janja janja, tuambieni umuhimu wa quadratic questions na msifanye tu assumption kwamba yana umuhimu mkubwa vinginevyo yasingefundishwa bali kuweni real, na nyie mnaoponda hapa HAMJUI umuhimu wake! Hata huyo Mzee angetaka kujifanya ujuaji kama nyie wala asingesema hayo, tena kuwajaza tu angeweza hata kusema kwanini quadratic questions zisianze kufundishwa tangu darasa la kwanza!! Kwanza nikijiondoa kwenye kundi la wanafiki, nampongeza huyo mzee kwa sababu kuna baadhi ya post nimeona zikisema amewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi! Sasa mkizingatia hata nyie wenyewe hamjui, hivi hamuogopi kuona hata aliyewahi kuwa mtu mzito serikalini na mwenyewe hajui?! Na kwa kuzingatia majority hamjui hata tumizi moja (heri yangu mara moja moja naitumia kwenye research ingawaje hii ni more than quadratic equations- ukweli nimesahau zinaitwaje, manake nilifundishwa tu in a crash programme ili niweze kuzitumia lakini zinafanana na quadratic) hivi hapo tatizo ni huyo mzee aliyeweka wazi kwamba hajui au ni mfano halisi wa matatizo ya mfumo wetu wa elimu?!
Mpaka hapo Jimbo lake lishakula hasara maana lazima halina umeme, Wala majiHabari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
Kheee...!! Hajui au haoni umuhimu wa periodic table...!!!Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu
He is just surviving in this worldKheee...!! Hajui au haoni umuhimu wa periodic table...!!!
Nimpe kitu kimoja tu kwenye gas production.
1. Anajua maana ya sacrificial anode kwenye cathodic protection???
2. Anajua kwamba metals gani zikikaa karibu au kugusana na metal ipi, nyingine inapata corrosion??
3. Anajuaje inert gases zinazotumika kuondoa gas kama methane wakati pipe inayobeba methane gas inapotaka kufanyiwa matengenezo?
Ni hatari kwa taifa letu.Hebu mtuambie hizo hata mimi nimezisoma na sijawahi kuzitumia na wala kuona zikitumika....
zaidi ya kujibia mitihani....