Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu

Huyu si mbunge tu.

Huyu kashakuwa Waziri Kiongozi Zanzibar na Waziri wa Mambo ya Ndani.

Mtu asiyejua umuhimu wa Quadratic Equations kimsingi hajui dhana nzima ya optimization kimahesabu.

Hajui Quadratic Equation zinatumika kwenye mambo mengi sana kuanzia kutafuta effiency kwenye models nyingi sana kama za financial products , kwenye cost benefit analysis, porfolio optimization balancing risks and returns na au hata navigational systems mpaka design optimization za majengo, madaraja na electronic circuits.

Mambo ya computer graphics, Computer Aided Design, game development, medical imaging kama CT scan na MRI yote hayo yanatumia Quadratic Equations.

Hizo GPS kwenye kutafuta shortest route unatumia Quadratic Equation.

Sasa huyu kilaza hajasoma hivyo haelewi haya mambo.

Nahodha hajui GPS inavyofanya kazi, tutafika safari hii?
 
Na atarud tna bungeni na anaweza pewa uwaziri tena hii nchi tunahitaji kuwa colonized tena
 
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu

Somo lenu kubwa sahv ni kuwafundisha vijana/watoto kukata mauno hu

Ova
 
Bila shaka atakuwa muislamu,maana wenzetu elimu Dunia kwao ni hakuna
 
Nimesikitika sana! Nimepitia posts karibu zote lakini ukitoa posts za Kiranga na Shotocan, wengine wote wamebaki kuponda tu na angalau wawili miongoni mwao wao wamefikia hadi kuingiza upumbavu wa udini lakini bado wameshindwa kutuambia akina sie tuliosoma arts umuhimu wa hao akina quadratic equations ingawaje binafsi naitumia tumia kidogo kwenye research! Inaonesha wengi tupo au mpo sawa na huyo mzee, yaani hamjui lakini kwavile JF kila mtu ni msomi na tajiri anaye-drive Range, ndo lazima tuponde ili tuonekane sisi tunajua!!

Acheni janja janja, tuambieni umuhimu wa quadratic questions na msifanye tu assumption kwamba yana umuhimu mkubwa vinginevyo yasingefundishwa bali kuweni real, na nyie mnaoponda hapa HAMJUI umuhimu wake! Hata huyo Mzee angetaka kujifanya ujuaji kama nyie wala asingesema hayo, tena kuwajaza tu angeweza hata kusema kwanini quadratic questions zisianze kufundishwa tangu darasa la kwanza!! Kwanza nikijiondoa kwenye kundi la wanafiki, nampongeza huyo mzee kwa sababu kuna baadhi ya post nimeona zikisema amewahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi! Sasa mkizingatia hata nyie wenyewe hamjui, hivi hamuogopi kuona hata aliyewahi kuwa mtu mzito serikalini na mwenyewe hajui?! Na kwa kuzingatia majority hamjui hata tumizi moja (heri yangu mara moja moja naitumia kwenye research ingawaje hii ni more than quadratic equations- ukweli nimesahau zinaitwaje, manake nilifundishwa tu in a crash programme ili niweze kuzitumia lakini zinafanana na quadratic) hivi hapo tatizo ni huyo mzee aliyeweka wazi kwamba hajui au ni mfano halisi wa matatizo ya mfumo wetu wa elimu?!
 
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu

Hovyo kabisa tuondolee huu uchafu bungeni bunge ni kwa sababu bunge ni tukufu
 
"Periodic equation" jamani .
Hawa ndio viongozi wa mbogamboga sasa hao wanachama sijui vilaza namna gani
 
Ni maoni wakuu, msimsimange sana 😂😂😂.
Hapohapo akienda pemba kuzindua maabara atawaasa watoto wasome masomo ya sayansi ili nchi ipate kua na wanasayansi wengi.

Akienda kuzindua chuo cha afya atawaasa wanafunzi wajikite kwenye masomo ya sayansi ili nchi ipate madaktari.
 
Habari wakuu,
Ni aibu kuwa na mbunge kama huyu haoni umuhimu wa periodic table kisha baadae utamkuta anasifia mama ameleta soko la madini kuna kila sababu ya kufanya reform kabla ya uchaguzi watu waache kupachikana kwenye nafasi tu

tena anasoma kabisa, kaandaa nondo kali, halafu vijana wakishindwa kuendesha volvo tunashangaa
 
Back
Top Bottom