Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mbona anaongea kama DC?Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026.
Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa Jimbo, huku kila dawati likigharimu Shilingi 70,000.
Madawati hayo yaligawanywa kwa shule tatu, ambapo Shule ya Msingi Timkeni ilitengewa madawati 10, Shule ya Msingi Mihama madawati 10 na Shule ya Msingi Mpepo madawati 28.
Madawati hayo yalitengenezwa na Kampuni ya Diget, huku mchakato wa zabuni ukisimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Baada ya kukamilika, Mbunge Hawa Mwaifunga alifanya ukaguzi wa madawati hayo kabla ya kukabidhiwa kwa shule zilizokusudiwa. Hata hivyo, baada ya kuyakagua, hakuridhishwa na ubora wake na kuamua kutoyapokea.
Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo amedai kurejeshewa fedha zilizotumika katika utengenezaji wa madawati hayo, huku akitaka suala la ubora na mchakato wa utekelezaji wa mradi huo kufanyiwa ufafanuzi.
Tukio hilo sasa limeibua maswali kuhusu mchakato wa zabuni, matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo na udhibiti wa ubora wa miradi inayotekelezwa kwa fedha za umma.
Bei ya mbao hapo kijijini unaijuwa? Huko siyo Dar Es SalaamMbona bei ndogo sana kwa madawati? 70,000tshs
wamepigana majunguKwani huyo mwalimu ni fundi seremala?
Mwalimu mkuu ni msimamizi wa miradi iliyopo shuleni kwake kwa kushirikiana na wataalamu kutoka halmashauri.Kihere here tu cha waalimu, Ni kazi ya mwalimu kuchonga madawati?
Hyo shule haina kamati ya Shule?
Unachongaje kona kwenye MFUMO ,hapo adili na mhandisi wa halmashauri aliyeyakubali na mzabuni SIO MWALIMUMwalimu mkuu ni msimamizi wa miradi iliyopo shuleni kwake kwa kushirikiana na wataalamu kutoka halmashauri.
Manunuzi madogo kama hayo hayafiki hata 100M mwalimu mkuu anayasimamia. Mwalimu mkuu na mhusika mwingine hapo shule atatangaza tenda kwenye mfumo wa nest, na huu mfumo automatically utachagua mwenye gharama ndogo kati ya walioomba.
Ubora wa kazi unasimamiwa na engineer sasa mfano engineer alimuambia mwalimu kwamba hii kazi ipo sawa ni kumuonea mwalimu. Labda mbunge kajiridhisha kwamba kuna kona imechongwa hapo
Mimi siamini kama inashindikana kuchonga kona. Mfano labour inatakiwa kulipwa 18% - 25% ya gharama ya materials, kwamba ukilipa 25% hautakua umetoka nje ya matakwa.Unachongaje kona kwenye MFUMO ,hapo adili na mhandisi wa halmashauri aliyeyakubali na mzabuni SIO MWALIMU
Ndio nami najiuliza70,000 kwa dawati mbona kama ndogo sana, hivi misumari,gundi, vanishi, msasa, hayo maandishi, chuma ,fundi, si karibu 50,000 mbao wamepata je?
Alipigiwa kura na nani? aende huko sisi Tabora hatumtambuiMbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026.
Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa Jimbo, huku kila dawati likigharimu Shilingi 70,000.
Madawati hayo yaligawanywa kwa shule tatu, ambapo Shule ya Msingi Timkeni ilitengewa madawati 10, Shule ya Msingi Mihama madawati 10 na Shule ya Msingi Mpepo madawati 28.
Madawati hayo yalitengenezwa na Kampuni ya Diget, huku mchakato wa zabuni ukisimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Baada ya kukamilika, Mbunge Hawa Mwaifunga alifanya ukaguzi wa madawati hayo kabla ya kukabidhiwa kwa shule zilizokusudiwa. Hata hivyo, baada ya kuyakagua, hakuridhishwa na ubora wake na kuamua kutoyapokea.
Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo amedai kurejeshewa fedha zilizotumika katika utengenezaji wa madawati hayo, huku akitaka suala la ubora na mchakato wa utekelezaji wa mradi huo kufanyiwa ufafanuzi.
Tukio hilo sasa limeibua maswali kuhusu mchakato wa zabuni, matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo na udhibiti wa ubora wa miradi inayotekelezwa kwa fedha za umma.
Kwanini alitoa hela kabla?Mbunge wa Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga amekataa kupokea madawati 48 yaliyotengenezwa kwa ajili ya shule tatu katika jimbo hilo baada ya kuyakagua na kutoridhishwa na ubora wake, Septemba 18, 2026.
Madawati hayo yaligharimu kiasi cha Shilingi milioni tatu, fedha zilizotolewa kupitia Mfuko wa Jimbo, huku kila dawati likigharimu Shilingi 70,000.
Madawati hayo yaligawanywa kwa shule tatu, ambapo Shule ya Msingi Timkeni ilitengewa madawati 10, Shule ya Msingi Mihama madawati 10 na Shule ya Msingi Mpepo madawati 28.
Madawati hayo yalitengenezwa na Kampuni ya Diget, huku mchakato wa zabuni ukisimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.
Baada ya kukamilika, Mbunge Hawa Mwaifunga alifanya ukaguzi wa madawati hayo kabla ya kukabidhiwa kwa shule zilizokusudiwa. Hata hivyo, baada ya kuyakagua, hakuridhishwa na ubora wake na kuamua kutoyapokea.
Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo amedai kurejeshewa fedha zilizotumika katika utengenezaji wa madawati hayo, huku akitaka suala la ubora na mchakato wa utekelezaji wa mradi huo kufanyiwa ufafanuzi.
Tukio hilo sasa limeibua maswali kuhusu mchakato wa zabuni, matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo na udhibiti wa ubora wa miradi inayotekelezwa kwa fedha za umma.
We mbwa ndiyo Tabora? Andika hoja yenye mantiki! Km we ulimbia uchaguzi ni wewe!Alipigiwa kura na nani? aende huko sisi Tabora hatumtambui
Wewe ulimchagua mshangazi huyu?We mbwa ndiyo Tabora? Andika hoja yenye mantiki! Km we ulimbia uchaguzi ni wewe!