Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Sahivi hata mtu ana diploma tu anakua daktariwananunua mitihani
Sahivi hata mtu ana diploma tu anakua daktariwananunua mitihani
Weh! Acha kabisa mambo hayo mkuu, uume wangu hauwezi kudinda kwa huyo mumama.....😎.Atafute secretarybird ampe raha sio taarabu za kingoni,
Mbs zangu haziruhisu kufungua video ni yukoje 😂Weh! Acha kabisa mambo hayo mkuu, uume wangu hauwezi kudinda kwa huyo mumama.....😎.
Nunua MBs umwangalie mwenyewe maana nashindwa kumdadavua.Mbs zangu haziruhisu kufungua video ni yukoje 😂
Mbs nna kazi nazo siwezi angalia ashuoNunua MBs umwangalie mwenyewe maana nashindwa kumdadavua.
Hahaha 😂, ukifungua hiyo videos utajuta, bora uache tu!Mbs nna kazi nazo siwezi angalia ashuo
Sifanyi hiyo kazi mkuuHahaha 😂, ukifungua hiyo videos utajuta, bora uache tu!
Hongera sana kwa kunielewa 😎.Sifanyi hiyo kazi mkuu
Ntumie 2k ya baba in Kenya shillingHongera sana kwa kunielewa 😎.
Subiri itimie saa mbili unusu usiku.Ntumie 2k ya baba in Kenya shilling
Kuna watu Magufuli akisemwa wanamkingia kifua lakini kuna makosa aliyoyafanya yatatugharimu kwa muda mrefu, la kwanza likiwa hilo la kuvuruga chaguzi na kupitisha mitaahira bila kupingwa.Kati ya vitu dikteta Magu aliharibu ni kutuletea bunge la hovyo
Kweli unakaa Kenya Hilo neno unusu,Subiri itimie saa mbili unusu usiku.
RubbishMbunge wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, akichangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma leo Juni 18, 2025, amesema amekoshwa na majibu yaliyotolewa na Rais Samia kwa Mbunge Luhaga Mpina, akieleza kuwa yalimfurahisha na kumpa faraja.
"Nichukue nafasi hii kumpongeza sana Mheshimiwa Rais kwenye mkutano wake wa jana pale, amenikumbusha kwamba pale ambapo mwiba unaingilia ni pale pale mwiba unatakiwa utokee, kwahiyo bila kupoteza muda Mheshimiwa Rais alimjibu Mheshimiwa Mpina kwa vitendo kwamba anachokifanya hayuko sawa sawa.
Yale majibu ambayo alipewa Mpina mimi kwakweli yamenipa raha sana, yameniletea furaha sana. Mheshimiwa Rais kongole nyingi sana, hauwezi kuwa na mtoto umemzaa mwenyewe, ukamlea mwenyewe kwa tabu na raha halafu baadae anakuja kukupiga mateke hadharani, ulipoingilia mwiba, hapo hapo ndo unapotokea, Safi sana endelea kutuelekeza, endelea kutufundisha kwa vitendo mwisho wa siku tutaelewa tu Dkt. Samia Suluhu Hassan ni nani."