Hahaha 😂, Niko 254 mazee.Kweli unakaa Kenya Hilo neno unusu,
Kuna mtangazaji wa Citizen radio, chemchem ya ukweli, Christin Odhiambo,
Afu Kuna jefu mwangemi na mwenzie wa KBC, na bety Torochichi, plus Bernard maranda KBC sauti ni ya mkenya
We ndiye Jacque mwenyewe nini!? Inaonyesha umevurugwa sana uzi huu!Sijaelewa jinsia ya mleta mada, lakini suala la Raisi na Mpina unalileta humu kipashkuna sana tangu jana ni kama upo mitandaoni kusaka nani kasema nini baada ya kauli ya jana. Wakati mwingine kitu kikipita mnaachana nacho, tabia za kutafuta chokochoko kuhusu jambo linaashiria mtu kutokuwa na kazi nyingine za kumuweka bize.
Yaani ni hovyo sn yanaandaliwa maigizo tupuKuna watu Magufuli akisemwa wanamkingia kifua lakini kuna makosa aliyoyafanya yatatugharimu kwa muda mrefu, la kwanza likiwa hilo la kuvuruga chaguzi na kupitisha mitaahira bila kupingwa.
Samia yeye oktoba atataka apite kwa 99.9%! Na kwakuwa umakini hawana hata 100% zitazidi
Diploma mbali sn certificateSahivi hata mtu ana diploma tu anakua daktari