PreGE2025 Mbunge Jacqueline: Majibu aliyopewa Mpina na Rais Samia yamenipa raha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kweli unakaa Kenya Hilo neno unusu,

Kuna mtangazaji wa Citizen radio, chemchem ya ukweli, Christin Odhiambo,

Afu Kuna jefu mwangemi na mwenzie wa KBC, na bety Torochichi, plus Bernard maranda KBC sauti ni ya mkenya
Hahaha 😂, Niko 254 mazee.
 
Badala ya kuongelea shida na matatizo ya wananchi wake anaanza kuleta taarabu bungeni, shame on her
 
Ili bidi bunge zima liwe na watu walio somea sheria au kada samabamba na izo ,una weka watunga sheria ambao zao hazieleweki na amna kitu wanajua kazi yao kugonga meza
 
We ndiye Jacque mwenyewe nini!? Inaonyesha umevurugwa sana uzi huu!
 
huyu maza vipi? tulia hukumpigia kura mpina, hebu nikunongoneze wakati mpina anaongea alikuwa anashangiliwa na wapiga kura wake, barabara za meatu ni za mbavu za mbwa na bado serikali imevuna kilo 60m za pamba. tukisema tunawadai kosa liko wapi
 
Kila nikifikiria bungeni kulikuwa na wabunge kama Tundu Lissu, ZZK na Deo Filikunjombe ila leo ndio tuna hawa, nafikiri tumeanguka sana kama taifa.

Ni kama vile kila siku zinavyozidi kwenda ndio tunashuka, tunakuwa na watu wa hovyo zaidi.
​
 
Yaani ni hovyo sn yanaandaliwa maigizo tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…