Ajalibu kila mbunge wa kiume hasa wasukuma, wanyakyusa na wajaluo atapata majibu.Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Ili iweje sasa?Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Mtawaumbua viongozi wakuu wa nchi sasa.
Ili iweje yaani?Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.
Hewaaaaaaaa hapo umepatiaHamna haja ya kutumia gharama kununua mashine,yeye ajitolee kunyonya nanii zote za wabunge kisha aandike report kuwa kakutana na masweta mangapi!
Huyu mbunge inaonekana 24/7 anawaza mhogo wa jang'ombe tu. Mikataba ya gas ikipitishwa huko yeye anapiga makofi tu na vigelegele. Halafu baada ya muda anaungana na wenzake anasema kina TL ni wabaya. Masikini sisi.Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.