Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Wakikaguliwa itatusaidiaje wananchi na hivi wao wanatuwakilisha Bungeni?

Kwa jicho lingine ni kama kwamba hawa wabunge wetu wanafanyaga nini huko?

Mbavu zangu... aibu

Anayejua mengine ya kuhusu wananchi ameyasema.. nambieni maana.. duh!!!
 
Mtawaumbua viongozi wakuu wa nchi sasa.

Sky Eclat,
Ohooo.....mama taartibu Usije ukashangaa unaazna kufuatiliwa na wale walimkosakosa Lissu na kumpoteza Ben..!! Huo ni uchokozi kudai ati kuna Viongozi wakuu wa nchi nao wanacheza mipira ya soksi..!!Uwe mtulivu usije ukachafua hali ya hewa ati!!!
 
Kwa akili ya SPIKA JOB NDUGAI huyu mbunge ndiye anayestahili kulipwa posho na mishahara na wala sio Mh Tindu Lissu aliyeshambuliwa kwa kupigwa risasi bila kosa lolote.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ameupata huu ujumbe wa mbunge wake?
 
Hawa ndiyo aina ya wabunge wanao lipwa posho na mishahara kwa kodi za walala hoi na kwenda kuongea upuuzi kama huo eti ifungwe mashine ya kubaini wasiyo tahiriwa bungeni.
FB_IMG_1549545673328.jpeg


In God we Trust
 
Hawa ndiyo aina ya wabunge wanao lipwa posho na mishahara kwa kodi za walala hoi na kwenda kuongea upuuzi kama huo eti ifungwe mashine ya kubaini wasiyo tahiriwa bungeni.View attachment 1015849

In God we Trust
 
Nafikiri mashine za kupima tohara ndio viwanda tulivyoahidiwa. Tusishangae maana wanatimiza ilani yao.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacquline Ngonyani (CCM), ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa.

Huyu mbunge inaonekana 24/7 anawaza mhogo wa jang'ombe tu. Mikataba ya gas ikipitishwa huko yeye anapiga makofi tu na vigelegele. Halafu baada ya muda anaungana na wenzake anasema kina TL ni wabaya. Masikini sisi.
 
Back
Top Bottom