Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wao wanafaidika na nini wakimtahiri mwenzao kinguvu, kwani angetaka kutahiriwa si angeenda mwenyewe
Mbwiga clip imerushwa na Clouds 360!
Mkuu mnaboa muwe mnasoma thread na kuelewa, huyo Cecilia Ngonyani aliongelea habari ya wabunge kutokuwa na govi jana na alikuwa wa kwanza kuleta hiyo story,. Hii hapa ni story nyingine ya mbunge mwingine akakazia kuwa bunge la Kenya liliweka mashine maalum mlangoni kutambua wenye govi.Hizi ni story mbili tofauti, ya yule mama ndo iliyotangulia hii ni nyingine inayohusisha bunge la Kenya. Hata leo waziri wa Afya Ummy Mwalimu kaongelea ishu ya kutahiriwa. Usikariri, ishu haijaongelewa bungeni na mbunge mmoja tu, kama hujaelewa ni bora kuuliza kuliko kuwa mbishi tu.Mbona habari ni ya uwongo. Hiyo kauli imetolewa na mbunge wa ccm.
Tena mwanamama cecilia ngonyani.
Clouds labda wana interestzao. Lakin vyombo vingine vinaongea habar ya tofati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni kweli mkuu inapunguza sana nafasi ya maambukiziHa ha kituko hichi cha karne na kupoteza hela bure mbona huo ukimwi ndo umeongezeka sahivi ambapo wengi wametahiriwa
I am well connected as a matter of fact
Jamani ndio akili za wabunge wetu. Duu sijui akapata wazo gani mpaka akaongea hivi ama ni overwhelmed of emotionsMbunge wa Viti maalumu mh Jacqueline Ngonyani ( CCM) amesema ni wakati muafaka sasa ifungwe Mashine maalumu Bungeni ya kukagua Wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa
Source: Eatv
Ana ugomvi na kanda pendwa!Jamani ndio akili za wabunge wetu. Duu sijui akapata wazo gani mpaka akaongea hivi ama ni overwhelmed of emotions
Vipaumbele vya ccm vinatisha !Mbunge wa Viti maalumu mh Jacqueline Ngonyani ( CCM) amesema ni wakati muafaka sasa ifungwe Mashine maalumu Bungeni ya kukagua Wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa
Chanzo: Eatv
Huko migombani mtapona na Hiyo Mashine?Mzee Mwenda angemmaliza huyu