Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Siku hizi hata utani mnautolea pooooooovu. Hivi ni vijineno vya kukoleza Kampeni ya TOHARA kwa Wanaume, pia kuna DC mmoja aliwahi kurusha kijembe kuwa Wanawame wasiwape papuchi wanaume ambao wana mkono sweta badala yake wawape ahadi ya kwenda kuupata ndio wapewe mgegedo. So ni vijimambo tu vipo kona zote duniani
 
Si awapime yeye.. Mashine si anayo au imetumika sana?
 
Hahaaa... yaani anataka iwekwe alarm ili mbunge wangu Msigwa anavyoingia bungeni na govi lake alarm ilie,,, "popooooo"
 
Mbunge Jacqueline Ngonyani: Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge ambao hawajatahiriwa ameyasema hayo leo
Hahahaha.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wanahangaika kutafuta mlo, maji safi, miundombinu nk, huyu mbunge wa CCM anasumbuka na wasiotahiriwa!!?
 
Hahahaha.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wanahaingaika kutafuta mlo, maji safi, mbiundombinu nk, huyu mbunge wa CCM anasumbuka na wasiotahiriwa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilivyoona kichwa cha habari nikajua hii itakuwa imeletwa na rafiki zangu wa chuo ambao ktkt ya study walikuwa wanaweza kukuambia "nisindikize mjini mara moja tu tunarudi sasa hivi" hao ni akina Mapunda, Hyera, Ndunguru, Matenga, Matembo, Komba, Kayombo, Mpangala, Ndimbo etc lakini kumbe sio leo nimejua hata dada zao kumbe wembe ni uleule
 
Huyu inaonekana ashaona sana za wabunge wenzie anashindwa tuu kuwataja.
Ila ana uhakika
 
Huyo yumo kwenye wabunge wenye kutegemewa ccm yani wenye PHD za SGR msukuma,lusinde,mkamia,nduguhai
Mbunge Jacqueline Ngonyani: Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge ambao hawajatahiriwa ameyasema hayo leo

======

February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo wa kuwakagua Wabunge wanaume ambao hawajatahiriwa ili kusaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema hili bunge ni kupoteza pesa tu ingefanyika mikutano ya rais mawazir na wadau kama ilivyofanyika hapo majuzi mkutano wa wadau wa madini na ile wa viongozi wa dini
Lingeongezwa kundi La wadau was afya,elimu na biashara basi bunge lingefutiliwa mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge Jacqueline Ngonyani: Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge ambao hawajatahiriwa ameyasema hayo leo

======

View attachment 1016101
February 7, 2019 Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Ngonyani amemshauri Spika wa Bunge Job Ndugai kufunga mashine maalum Bungeni ambayo itakuwa na uwezo wa kuwakagua Wabunge wanaume ambao hawajatahiriwa ili kusaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa mbalimbali.
Pia ifungwe mitambo Ya kuwakagua wanawake ambao hawajakeketwa ili kuzuia kupunguza ham za wanawake na kupunguza kuchepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mbunge anainuka na kutoa hoja dhaifu kama hiyo, kazi ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wote akili yao kama yule bundi tu
20190207_204325.png

Ni bora walizima Bungelive ili tusione huu ujinga
 
Hakuitajiki kuwekwa mashine ya kupima,Wabunge magovi utawajua kwa michango yao Bungen ya kujali matumbo yao na familia zao tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia ifungwe mitambo Ya kuwakagua wanawake ambao hawajakeketwa ili kuzuia kupunguza ham za wanawake na kupunguza kuchepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko Sawa kabisa Stella. Kutahiriwa ni kutahiriwa tu. Awe mwanaume au mwanamke. Kwanza yeye huyu akiwa Ukuryani anaitwa Masaghani.
Bundi hajawaacha salama hao ndio wawakilishi wa watu . Hoja mfu . chezeya bundi weye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Rombo ambaye ndio kaimu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni amesema bunge la Kenya liliweka kifaa maalumu katika mlango mkuu wa bunge kuwatambua wabunge wanaume ambao hawajatahiriwa.

Mh Selasini amesema Bunge la Kenya lilifanikiwa sana katika zoezi hili la kuwatambua wenye mikono ya sweta na kuwatahiri kwa nguvu, hivyo amemtaka Spika kuiga utaratibu huo.

Ikumbukwe mikono ya sweta huongeza kasi ya maambukizi ya ukimwi.
Source Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
 
Hamna haja ya kutumia gharama kununua mashine,yeye ajitolee kunyonya nanii zote za wabunge kisha aandike report kuwa kakutana na masweta mangapi!
Waziri wa Afya majuzi alitoa tahadhari kwamba ungonjwa wa kansa ''Cancer'' ni tishio Tanzania wadau pia wakatao tahadhari kwamba kunyanya huo mjengo ni chanzo kikuu cha kansa
 
Ha ha kituko hichi cha karne na kupoteza hela bure mbona huo ukimwi ndo umeongezeka sahivi ambapo wengi wametahiriwa
 
Back
Top Bottom