Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

hiyo mashine itafanya kazi hata Rais akiingia kwenda kuhutubia bunge?
 
Mbona habari ni ya uwongo. Hiyo kauli imetolewa na mbunge wa ccm.
Tena mwanamama cecilia ngonyani.

Clouds labda wana interestzao. Lakin vyombo vingine vinaongea habar ya tofati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mnaboa muwe mnasoma thread na kuelewa, huyo Cecilia Ngonyani aliongelea habari ya wabunge kutokuwa na govi jana na alikuwa wa kwanza kuleta hiyo story,. Hii hapa ni story nyingine ya mbunge mwingine akakazia kuwa bunge la Kenya liliweka mashine maalum mlangoni kutambua wenye govi.Hizi ni story mbili tofauti, ya yule mama ndo iliyotangulia hii ni nyingine inayohusisha bunge la Kenya. Hata leo waziri wa Afya Ummy Mwalimu kaongelea ishu ya kutahiriwa. Usikariri, ishu haijaongelewa bungeni na mbunge mmoja tu, kama hujaelewa ni bora kuuliza kuliko kuwa mbishi tu.
 
Mbunge wa viti maalumu Jacquline Ngonyani(CCM), Ametaka ifungwe mashine maalumu bungeni ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa. ,,,Mambo ni Mengi muda ni mchache, Najionea Taaabu mwenyewe,,, @ChaliiYaKijengeJuu
 
Mbunge wa Viti maalumu mh Jacqueline Ngonyani ( CCM) amesema ni wakati muafaka sasa ifungwe Mashine maalumu Bungeni ya kukagua Wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

Source: Eatv
Jamani ndio akili za wabunge wetu. Duu sijui akapata wazo gani mpaka akaongea hivi ama ni overwhelmed of emotions
 
Nimeshangazwa na Mbunge wa VITI MAALUM Jacquline Ngonyani akilitaka BUNGE lifunge MASHINE MAALUMU za kuwakagua WABUNGE WANAUME WASIOTAHIRIWA.
Hivi kweli Huyu Mbunge alikosa kabisa HOJA yenye TIJA kwa TAIFA akaona hii ndiyo
AIZUNGUMZE? Ndio maana tumekuwa Tunapaza Sauti kutaka KATIBA MPYA ili TUONDOE Wabunge wa VITI MAALUMU kwani HAWANA TIJA kwa TAIFA zaidi ya kwenda BUNGENI kutembea na kuuliza Maswali yasio ba AFYA kwa TAIFA huku Wakilipwa POSHO na MISHAHARA ambayo ingepelekwa hata kwenye VITUO vya WATOTO YATIMA Zikanunua CHAKULA na DAWA
VITI MAALUMU VIFUTWE ni UPOTEVU wa FEDHA za UMMA.
kigogo._.2014_1675853777193527.jpg
 
Back
Top Bottom