Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

ATCL ni mradi wa kulinda hadhi ya taifa siyo wa kutengeneza faida- kama ikipatikana sawa isipopatikana pia sawa cha muhimu taifa lina ndege.
 
Mm mwenyewe ni mwanaccm ila hili zao la awamu hii ni feki,, halijui chochote zaidi ya ndiyo na uwizi
 
Nakuji
Nakujibu mara ya mwisho pia. Mwisho tukubaliane kutokukubaliana.

Nimekupinga kwenye suala la uhuru wa kujieleza na kukosoa ulivyoliweka kwa uzito sawa na huduma bora za afya na maji safi na salama, lakini namna ulivyolijibia nimeona wazi wazi kabisa kwamba haupo consistent kabisa katika kufikiri kwako kuhusu dhana ya "uhuru wa kujieleza na kukosoa". Lakini hainishangazi sana maana mengi ya mawazo ya watu wa aina yenu siyo original ideas, mnaparrot tu vimisemo mnavyolishwa tu na systems za huko, bila hata kujua nini na kwa nini.

"Tumeona utilities wa miradi ya maji isiyotoa maji, barabara zinazoharibika baada ya msimu mmoja ambapo wananchi inabidi wamsubiri Rais ndio watoe dukuduku zao. Uhuru ungekuwepo, matatizo yangemalizika katika ngazi ya DED."

So wananchi walimsubiri Rais wakatoa dukuduku zao. Kumbe uhuru wa wananchi wa kujieleza na kukosoa upo, kiasi kwamba waliweza kuuonyesha hata mbele ya Rais. Argument yako ni nini hasa? Uhuru wananchi wanao hawana? Kama walisubiri hadi Rais aje ndio wauonyeshe walishindwa vipi kuuonyesha kwa viongozi wa ngazi za chini? Sioni kama hili ni tatizo la uhuru wa kujieleza na kukosoa, naliona kama tatizo la elimu ya uraia kwa ujumla, wananchi hatujui nini cha kufanya tunapoona watendaji wa serikali wanafanya vibaya.

"Tumeona madaktari wakiogopa kutoa takwimu kuhusu ugonjwa wa Covid kwa kuogopa kushughulikiwa."

Sikuelewi yaani. Takwimu zilikuwa zinatolewa, baada ya kushauriana wenyewe kwa wenyewe huko serikalini kwamba takwimu zinazidisha hofu ya Covid-19 kwa wananchi na kuwapanikisha watu wakatoa agizo zisitolewe. Hata upimaji wa Covid-19 ukasitishwa. Bila shaka takwimu halisi za Covid-19 hazikuwepo pia. Unahesabu hili kama kuminywa kwa haki za "uhuru wa kujieleza na kukosoa" wa madaktari? Kama unalihesabu hilo kwenye uhuru wa aina hiyo basi you are totally irredeemable. Hili si suala uhuru wa kujieleza na kukosoa, hili ni suala jingine kabisa -- liite suala la nchi kufanya tofauti na jumuiya ya kimataifa kwenye inshu ya Covid-19. Kuna watu walikosoa msimamo huo wa serikali, na kuna watu walikubaliana na msimamo huo wa serikali. Nilitegemea watu kama nyie wenye uelewa basic (aina ya uandishi wako unaniaminisha hivyo) mngeweza kuwa objective katika kufanyia analysis mambo kiasi kwamba inapokuja suala la kukosoa serikali pale mnapofanya hivyo hata serikali inakubali kwamba kweli hapa tulipotoka, ngoja tujirekebishe. Lakini mnavyokosoa kosoa kila kitu, serikali hupata shaka kama mnafanya hivyo kwa nia njema au mna ajenda.

Kwenye mambo ya airlines (SwissAir, n.k), na kwenye mambo ya umeme (regulation, n.k), na namna gani mashirika ya aina hii ni vital kwenye Geo-Economic-Security interests za nchi, naona nisiendelee tena kujibishana. Endelea na msimamo wako na mimi nitaendelea na wa kwangu.
 
I still have confidence with ATCL, this is despite the loss it is making
 
Mimi nafikiri tuwacheeee weee wapate hasara weee siku wakichoka watasema maana tunawaambia hawasikii.
 
Hamna lolote ninyi mafisadi tu mnaokuja mitandaoni kujaribu kuhadaa wananchi kwa upuuzi wenu na hasira za kutumbuliwa kwenu
 
Ww ndio unajifanya kujua usiyoyajua😂!
 
Kwa hiyo mnatakaje? Shirika liuzwe? Ndege ziuzwe au nini hasa? Ni vema kwenda moja kwa moja kwenye suluhisho sababu muhusika wa yote kishatangulia mbele za haki.

Zinauzwaje wakati zingine ndio zinaingia😂😂😂😂
Kurasa 303 lazima zikamilike
 
Kakulia kwenye Aviataion huyo. Halafu hebu sikilizeni wachumi. Hiyo inasupport utalii! Ndegezetu mbili zije na kazi iendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…