Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
997
Reaction score
1,568
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.

Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.

Jerry.jpg
 
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.

Nadhani alitaka kuwa na mbinu ya kuwachosha wauliza maswali.......
manake wakikuuliza swali hulielewi elewi unasema naomba muda nipekuwe wakati unatafakari majibu
 
Vitabu vingi alivobeba hapo vinahusiana na Sheria na Mambo ya Kodi...so anaenda kudefend hoja zake hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ku-prove kama mtu anakatwa kodi hata salary slip ingetosha. Usitetee drama.

Mimi nikionyesha salary slip yenye robo ukurasa inatosha kuonyesha mpaka kiasi cha kodi na makato yote ninayolatwa.

Waache drama.
 
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.

Elimu, elimu , elimu, elimu elimu na sio uzoefu
 
Back
Top Bottom