Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

Maswali yenyewe mbona marahisi tu na hayahitaji rejea zote hizo?

1. Ubunge wako uliupataje?
2. Kodi unakatwa asilimia ngapi kwenye mshahara wako?
😂😂Huyo mbunge wako nae siku zote halafu wale wamuulize aliupataje!?
 
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.

Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.

Mpaka bible
 
Ku-prove kama mtu anakatwa kodi hata salary slip ingetosha. Usitetee drama.

Mimi nikionyesha salary slip yenye robo ukurasa inatosha kuonyesha mpaka kiasi cha kodi na makato yote ninayolatwa.

Waache drama.
..Amka na BBC asubuhi ndio wamesema amebeba vitabu vya masuala ya Kodi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kaona sio wasomi so akienda kisomi hasa kupitia vitabu atapangua hoja zao nyingi..kumbuka ccm na usomaji wa vitabu ni maji na moto hao watu ni empty set.

#MaendeleoHayanaChama
Sio kweli mimi ni CCM na napenda sana kusoma vitabu. Wewe ni empty set (nunge kabisa) kwa kugeneralise facts.
 
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.

Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
IMG-20210827-WA0032.jpg
 
Huenda alikosa mtu Wa kumwachia akajibebea mizigo yake mwenyewe..
tafadhari hata dereva wake asimwamini au ndo kusema kamati ilimtuma amfikishe bila hivo

tungesikia ajali na Jerry kafa dereva kapona
 
Classmate wangu Shule ya msingi ukonga 1989-1995 , alikuwa anatuongoza darasani.Jamaa Ni bright sana,akapangwa form one pugu Mimi azania
 
Books are for reading.

Majuzi niliingia maktaba kwa mara ya kwanza, nilipekua vitabu kadhaa.... Asee nilijisikia poa sana.
 
Mikwara yake tu isiyo na kivhwa wala miguu sasa yale matabu yote ndio yatamuepusha na rungu la Job ?

Mahakaman kwenyewe unakuta wakili ana begi kama anaenda Europe limmejaa matabu na iyo kesi anapoteza dhidi ya wakili anaekuja na ka pamflet tu
 
Back
Top Bottom