kawapasha hasaaMwanasheria hufundishwa kujibu hoja kwa kutumia rejea.
Kumbuka huyu ni mwanasheria mbobezi hivyo lazima ajibu kwa rejea
Nadhani alitaka kuwa na mbinu ya kuwachosha wauliza maswali.......Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.
Ku-prove kama mtu anakatwa kodi hata salary slip ingetosha. Usitetee drama.Vitabu vingi alivobeba hapo vinahusiana na Sheria na Mambo ya Kodi...so anaenda kudefend hoja zake hapo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Elimu, elimu , elimu, elimu elimu na sio uzoefuTumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.