😂😂Huyo mbunge wako nae siku zote halafu wale wamuulize aliupataje!?Maswali yenyewe mbona marahisi tu na hayahitaji rejea zote hizo?
1. Ubunge wako uliupataje?
2. Kodi unakatwa asilimia ngapi kwenye mshahara wako?
hahaahaaaaMwanasheria hufundishwa kujibu hoja kwa kutumia rejea.
Kumbuka huyu ni mwanasheria mbobezi hivyo lazima ajibu kwa rejea
Mpaka bibleTumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.
..Amka na BBC asubuhi ndio wamesema amebeba vitabu vya masuala ya Kodi...Ku-prove kama mtu anakatwa kodi hata salary slip ingetosha. Usitetee drama.
Mimi nikionyesha salary slip yenye robo ukurasa inatosha kuonyesha mpaka kiasi cha kodi na makato yote ninayolatwa.
Waache drama.
Ha ha ha ha huenda aissHuenda alikosa mtu Wa kumwachia akajibebea mizigo yake mwenyewe..
Sio kweli mimi ni CCM na napenda sana kusoma vitabu. Wewe ni empty set (nunge kabisa) kwa kugeneralise facts.Kaona sio wasomi so akienda kisomi hasa kupitia vitabu atapangua hoja zao nyingi..kumbuka ccm na usomaji wa vitabu ni maji na moto hao watu ni empty set.
#MaendeleoHayanaChama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa ili nasi tujifunze.
tafadhari hata dereva wake asimwamini au ndo kusema kamati ilimtuma amfikishe bila hivoHuenda alikosa mtu Wa kumwachia akajibebea mizigo yake mwenyewe..
Biblia atakuwa anataka kufanya rejea kwenye ile Aya unayosema " Ya Kaisari mpeni Kaisari". Jerry kawashika pabaya!!Biblia nayo kaja nayo kuwachanganya zaidi.