Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.

Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.

Hata hivyo akiichagiza ushauri huo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.

Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
 
Afanye juhudi abadili katiba kwanza kama ni kwa kuvunja katiba no.
 
"Haya mambo ambayo tunaona Rais ameyafanya tunaweza kuona namna tukamuongezea muda, kwani kitu gani mbona wenzetu wamefanya?, ina maana sisi watanzania tunaijua demokrasia zaidi ya wachina ambao ni matrilionea wamefka mahal wakaona tumuongeze Mtu hata miaka 20 mbele"---- MUSUKUMA
 
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru...
Hapo ndipo alipoboa. JPM kipenzi cha wengi akamilishe miaka yake 10 na 2025 akabidhi kijiti kwa mwingine. Hizi ngonjera za akina Msukuma ni za kupuuzwa
 
Wabunge wenye mawazo ya utopia namna hii wana takiwa kupimwa mkojo
 
Uzuri kuna miswaada ya hati ya dharura,hivyo afanye makeke ,apeleke mswaada kwa hati ya dharura tufanye mambo.
 
Kumbuka wewe sii machina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…