Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

[emoji706][emoji706][emoji706]
@ milele
giphy.gif
 
[emoji706][emoji706][emoji706]
Tunajuta covid tusaidie " .... wengine walikuwa wapi kuleta maendeleo.... nawambia hayupo wa kusimamia haya....mtajuta...."
giphy.gif
giphy.gif
 
Hii hoja imekuwa inaropokwa na wabunge vilaza tu walishindwa kumaliaza hata primary au wa elimu za kimagumashi. Juma Nkamia, Ally Kessy, Japipo na Msukuma hii inaonesha dhahiri kuwa kuna umuhimu wa kuangalia upya vigezo vya kuwa mbunge
 
nahis vitu vya kujadili sasa hivi hakuna nchi hii zaidi ya haya ya urais...
 
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.

Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.

Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Kani hiyo miradi ni ya Magufuli binafsi au ni ya serikali?

Magufuli akifa kesho hiyo miradi itasimama?
 
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.

Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.

Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Demokrasia ya Uchina na Urusi ni kama hii ya Africa Mashariki!!

Msukumanrudi shule kasome uelewe namna Dunia inavyokwenda!! Miaka 20 mpe kwenye mji wako, sisi tuna katiba yetu
 
Mpango utakuja baadae huku jina la Magufuli likiwa halitajwi kabisa, strategically

Mbunge mwenye ushawishi (achana na hao vilaza jamii ya Sanga) atapeleka hoja binafsi akiomba Bunge lifanye mabadiriko ya muda kutoka miaka mitano mpaka saba ili kuwapa nafasi wabunge na madiwani wa vyama vyote kutekeleza ahadi zao maana miaka mitano haitoshi. Mpaka hapo utaona kwamba Magu wala CCM haitajwi. Hii hoja kwa kuwa inawafavour wote, itakuwa wimbo mzuri kwao.

Then hii kitu itapita (whether kwa referendum ama la) ila itapita. Term moja itakuwa 7 years badala ya tano. Then wabunge hawa na Magufuli wataendelea kula bata la PAYE zenu mpaka 2027

Then wataalamu wenu wa sheria watasema actually hii ya 7 years ndio term ya kwanza ya Magu. So, itabidi apige tena awamu ya pili ya miaka 7 kwa Mujibu wa Katiba

Hii itakuja late 2023. Just wait and see!
 
Kwahiyo hamna miradi mipya tena? Mimi sijawai kua mjinga aisee
 
Wanaostahili kutekwa hawatekwi, Wasiostahili kutekwa wanatekwa
 
Hapo ndipo alipoboa. JPM kipenzi cha wengi akamilishe miaka yake 10 na 2025 akabidhi kijiti kwa mwingine. Hizi ngonjera za akina Msukuma ni za kupuuzwa
Shida hawa akina Msukuma Wana nguvu sana
 
Back
Top Bottom