Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
www.ippmedia.com
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
Mbunge adai RC Geita kutafuna Mil. 600/-
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma, amesema Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel, akishirikiana na timu ya mkoa huo wamepata zaidi ya Shs Mil. 600/- kutoka katika fungu la fedha za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) zinazotolewa na mgodi wa dhahabu wa Geita.