Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

Msukuma kajiendeleza na jimboni kwake hua anasema hayo.
Huwa siamini kama Msukuma hajajiendeleza kielimu halafu akaficha vyeti vingine akaamua kutumia ulasaba ili tumuone na akili kumbe yaweza kuwa nyuma ya pazia kapiga short course na training mbalimbali.​
 
Nina mashaka na hoja ya msukuma coz RC sio mtendaji ktk Baraza la halmashauri ila ni mjumbe tu nahisi ni mgongano wa maslahi na cheap political popularity tu pesa za miradi ya maendeleo zinakua chini ya mkurugenzi huo uongo wa wabunge wa ccm ionekane wanasimamia selikari kumbe ni unafiki tu
Muropa ukweli huyo...RC kajibu aachiwe Mungu....sipati Picha angesema Musukuma alete ushahidi.......?????!!!!!####
 
Msukuma na uongozi wote wa mkoa watakuja kupigana visu siku moja.

Wagombane wagombanavyo sisi wananchi tunapata faida wanaposhikana mashati ya ufisadi, tunapata kujua jinsi wanavyozipiga.

Btw, kwanini hawampi hizo tenda anazozitaka huyu?
Ni tapeli sugu anadaiwa kila kona,ukifanya nae biashara ukae kwa tahadhari
 
Mhe. Musukuma is 100% right. Miradi inatakiwa kutekelezwa na Halmashauri sheria gani inamruhusu RC kuingilia maamuzi ya Halmashauri?.
Nadhani kuna muongozo wanaruhusiwa kuingilia maana wao kama swkretariat ya mkoa ni wasimamizi wa hizo Halmashauri zote

Sasa sijajua hili la kubatilisha maamuzi na kula pesa limekaaje kwa sababu hakuna pesa ya Halmashauri inaingia kwenye account ya mkoani
 
Hivi usimamizi wa pesa nchi hii ukoje mbona pesa zinaliwa na kupotea hovyo? Takukuru tunaomba hizi pesa zirudi na waliotoa pesa kwa Mkuu wa Mkoa ilikuaje kuaje sasa
 
Nadhani kuna muongozo wanaruhusiwa kuingilia maana wao kama swkretariat ya mkoa ni wasimamizi wa hizo Halmashauri zote

Sasa sijajua hili la kubatilisha maamuzi na kula pesa limekaaje kwa sababu hakuna pesa ya Halmashauri inaingia kwenye account ya mkoani
Kwakigezo hicho cha halmashauri kupanga ndio DED Tanga anapigatu hata hela itoke serikali kuu haogopi.
Eti nae anatoka kanda ya ziwa na nimteule. Ilifika mahali mtu aliyetoka kanda ya ziwa alikua dili kama ilivyokua albino enzi hizo
 
Back
Top Bottom