Ila King Msukuma ana akili mda mwingine..amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
..amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za halmashauri.
..msikilizeni Mh.Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
Mbunge adai RC Geita kutafuna Mil. 600/-
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma, amesema Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel, akishirikiana na timu ya mkoa huo wamepata zaidi ya Shs Mil. 600/- kutoka katika fungu la fedha za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) zinazotolewa na mgodi wa dhahabu wa Geita.www.ippmedia.com
Napata raha sana nikiwaona viongozi makini hasa pale wanapokemea ubadhirifu unaofanywa na huo wanaojiita wateule wa Rais.Msukuma amekulia kazini, sio msomi Ila amekulia kazini
Anaondoa dhana ya kwamba lasaba hawafai kua wabungeIla King Msukuma ana akili mda mwingine
Nimemsikia kwenye traffic jam ya clouds japo maneno ya rc yana ukakasiRC alipoulizwa kuhusu hizo tuhuma za Msukuma alisema aachiwe Mungu tu
Mungu ndio mwenye hizo hela?RC alipoulizwa kuhusu hizo tuhuma za Msukuma alisema aachiwe Mungu tu
Uzi kama huu wa kuwalinganisha darasa la saba na Phd holder nilileta sema mods walipita nao.Anaondoa dhana ya kwamba lasaba hawafai kua wabunge
Huwezi mlinganisha msukuma na mtu kama Ummy ,Tulia na Ndugai tena wote kwa pamoja,ikifanyika debate Msukuma anawagaragaza.Lusinde yeye simjadili sana maana ndio hivyo tena