Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
RC na DED wa Tanga ni kutoka kanda ile ya maji baridi basi ndio watu hawapumui maana ni ndugu na iliyokua mamlaka ya uteuziMsukuma yupo sahihi hili kundi la hawa wateule wapigaji walikua wengi mno yaani wakuu wa mikoa walikua na nguvu hatari...
Msukuma Kasheku ni level nyingine. Kama katiba ikikataza lasaba wasiingie bungeni iandike kabisa ISIPOKUA MSUKUMA KASHEKU aruhusiweUzi kama huu wa kuwalinganisha darasa la saba na Phd holder nilileta sema mods walipita nao.
Sababu nirihisi wao watakua team Phd holder nasi la saba.
Kweli mkuu Msukuma anahoja zake nzuri na sasa ametokea tena Lusinde ambaye ni level za MsukumaMsukuma Kasheku ni level nyingine. Kama katiba ikikataza lasaba wasiingie bungeni iandike kabisa ISIPOKUA MSUKUMA KASHEKU aruhusiwe
Hasira za kunyimwa tenda kwenye miradi, hahahaaaAmemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
Mbunge adai RC Geita kutafuna Mil. 600/-
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma, amesema Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel, akishirikiana na timu ya mkoa huo wamepata zaidi ya Shs Mil. 600/- kutoka katika fungu la fedha za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) zinazotolewa na mgodi wa dhahabu wa Geita.www.ippmedia.com
Kama Kingwangala tu😀🤣🤣🤣🤣RC alipoulizwa kuhusu hizo tuhuma za Msukuma alisema aachiwe Mungu tu
Lusinde ana cheti cha Milembe.Kweli mkuu Msukuma anahoja zake nzuri na sasa ametokea tena Lusinde ambaye ni level za Msukuma
Sasa unataka awaseme akina nani sasa wako wao kwa waoHiyo tabia ilianza wakati wa mwendazake ili kuwakomoa wabunge wa upinzani sasa imeanza kuwatafuna wenyewe.
Wakurugenzi wote si walikua team mjerumani mzee kazi kusumbua Wananchi sasa hivi kazi wanayo..RC na DED wa Tanga ni kutoka kanda ile ya maji baridi basi ndio watu hawapumui maana ni ndugu na iliyokua mamlaka ya uteuzi
Majungu hayawezi kulisaidia taifa letu huyo Msukuma anainterest zake jiulize wakati JPM akiwa hai mbona hakuwahi kumlalamikia?RC wa Geita ajipime, msukuma ni unreasonable siku zote ukigombana nae ugomvi wa ngumi yeye anakuja na mapanga, mawe, visu, nyundo Yani balaa utaishia kukimbia.
Pia Geita ni mkoa mgumu sana hata history ya viongozi wanaopita hapo inaonyesha huwa hawakai sana. Angalia history ya RPC wote wa Geita na RC huwa kuna mushkeri.
Otherwise nakubaliana na hoja ya msukuma kuhusu RC kuingilia maamuzi ya matumizi ya pesa za Halmashauri, hahusiki kabisa. Ajipime kwakweli.
Kwa hiyo akili zipo kwenye level za elimu?Huwa siamini kama Msukuma hajajiendeleza kielimu halafu akaficha vyeti vingine akaamua kutumia ulasaba ili tumuone na akili kumbe yaweza kuwa nyuma ya pazia kapiga short course na training mbalimbali.
Tatizo mropokaji mno na hana brake. Si unamuona alivyo much know 🤷Msukuma na uongozi wote wa mkoa watakuja kupigana visu siku moja.
Wagombane wagombanavyo sisi wananchi tunapata faida wanaposhikana mashati ya ufisadi, tunapata kujua jinsi wanavyozipiga.
Btw, kwanini hawampi hizo tenda anazozitaka huyu?
Legacy ya mwendazake piaMhe. Musukuma is 100% right. Miradi inatakiwa kutekelezwa na Halmashauri sheria gani inamruhusu RC kuingilia maamuzi ya Halmashauri?.