Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
20250210_112920.jpg

1739779904874.png
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
 
Mambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...

Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..

Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..

Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....

Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
 
Sheria ya mafao inataka alipwe siku ya kustaafu/ kuvunjwa bunge na si kwa hisia zako.
Hata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.

Hata madiwani ni hivyo hivyo.

Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.

Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
 
Mambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...

Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..

Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..

Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....

Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
Eti siasa za madawati na barabara ,
Ndo ukweli
 
Hata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.

Hata madiwani ni hivyo hivyo.

Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.

Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
Sasa kama ni njaa mbona wanakimbilia huko ?
Aau na wewe unakuwa kama kaka zetu walioko Marekani wanakuponda sana na kutuambia tusiende?
 
Back
Top Bottom