M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Very soon wanadaka kiinua mgongo cha five years za porojo kule Idodomya, atawalipa easily na fungu litabaki, aendelee tu na siasa awanyooshe weliojaza mivyeti huku maisha yakiwapigisha kwata yaani hakuna hata benki inayoweza kuwaamini kwa hata kuwakopesha milioni mia moja.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.