Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Very soon wanadaka kiinua mgongo cha five years za porojo kule Idodomya, atawalipa easily na fungu litabaki, aendelee tu na siasa awanyooshe weliojaza mivyeti huku maisha yakiwapigisha kwata yaani hakuna hata benki inayoweza kuwaamini kwa hata kuwakopesha milioni mia moja.
 
Mbona kudaiwa ni kitu cha kawaida kwa sisi binadamu na haswa kutoka Tanzania!

Vizazi vya sasa hapa Tanzania vinanidai kuwasababishia ujinga, umasikini, maradhi, ujambazi, uongo, uzinzi, utapeli, ubovu wa miundo mbinu, gharama za maisha kuwa juu, mauaji nk. kwa kuendelea kuwa na mfu wa Serikali tokea kuoata uhuru.
 
Acha ushamba ndugu. Kuna uhusiano gani kati ya kudaiwa na kuacha siasa?
Huyo mleta na click yake ndiyo waloivujisha katika vita vyao vya kisiasa probably ndani ya chama cha mbogamboga, a very cheap and pathetic political foul play.
 
Deni hilo kwa Msukuma sio kubwa. Nahisi kuna tatizo mahali. Msukuma mfanya biashara wa madini, anasafirisha na kuuza ng'ombe visiwa vya Comoro, ana apartments alizopangisha watu, ukienda stend ya Nyegezi ana zile Tata za kubeba abiria. Mimi nilipata bahati ya kukutana nazo tata 12 Airport siku tulipoenda kuzima mwenge Mwanza. Gari analotembelea ni LC 300.
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Jamaa ana ela mzee ni zile ndinga zake za bei mbaya 200 mls plus ni si moja. Atalipa tu bila shaka
 
Halafu mshikaji ana man
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
eno ya shombo huyu kumbe milioni 400 inamshinda?
 
Mbona hiyo hela ndogo sana, anaweza kuzipata Kwa siku Moja tu akibwabwaja mle mjengoni.

Bandari ya Bagamoyo ipo kwa wasaudi, alipiga kelele tu kidogo anakula chake.
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Mbona kama umechekelea sana.
 
Tukicheka tunaambiwa sisi maskini tunawafurahia matajiri kufiliska.

Ngoja basi tuache
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
 
Attachments

  • IMG-20250213-WA0034.jpg
    IMG-20250213-WA0034.jpg
    57.5 KB · Views: 3
Na elimu yangu msukuma akianza kuwaponda wasomi uwa naogopa Sana nakujisikia vibaya ,Sasa ngoja na Mimi nipate chance ya kumponda .

Hiloooo limsukuma lindaiwa 😂😂
 
Back
Top Bottom