Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Itakuwa umekuja mjini leo wewe.

Hiyo sehemu iliyokuwa mortgaged ndio ishauzwa kijanja hivyo, maisha yanaendelea.

Kwenye mnada anaenda kuinunua tena kwa bei ya chini na kwenda kukopea sehemu nyingine.

Wingi wa madeni sio kipimo cha umaskini, kalagabaho.
 
Mambo za kawaida sana kwenye biashara .. kawaida sana...

Me nikajua inaenda kwenye B kumbe hicho cha mtoto..

Kuna mwamba wa Dar lux yeye alilamba kama B10 hivi ya Equity akapita hivi..

Mambo ya Biashara ni biashara siasa ni siasa....

Kama unaweza fanya biashara hizi siasa za Madawati na barabara ni urojo urojo sana
Mkuu alilambaje hizi 10bn na aliweka nini dhamana akazipata ,hizi ndizo akili nzuri
 
View attachment 3231806
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
da!!!
 
Deni dogo sana kwa aina y uwekezaji wake. Na anacho sema juu yenu wasomi ni kweli kabisa.
KAZI ni kipimo cha UTU
Kuwa darasa la saba nako ni mzigo.
Sasa anashindwaje kuelewa kuwa asipolipa kwa wakati, atalipia riba ya 18% kwa deni lake hilo.
Usomi nao unafaida!
 
Deni dogo sana hilo kwakeee
Keshokutwa bunge likivunjwa anapiga mamilioni ana clear debts maisha yanaendaaa

What if amefanya hivyo as a strategy towards hiden goals?
Unakopa, hulipi hadi unabandikwa magazetini.
Kweli goals za darasa la saba hazieleweki!
 
Sasa wanamuandikia kiingereza, ameelewa kweli??? Si ni kumuonea tu... Sijui sheria zetu zikoje tu
Sheria ilitungwa kwa kiingereza, hivyo ili kuziba mwanya wa kuchomoka unaandikiwa kwa lugha iliyotumika kuunda sheria husika, hapo hakuna kisingizio cha walikosea kutafsiri.
 
Sasa kama ni njaa mbona wanakimbilia huko ?
Aau na wewe unakuwa kama kaka zetu walioko Marekani wanakuponda sana na kutuambia tusiende?
HOja yako nini maana hueleweki?

Hao kina Shabiby unafikiri wanataka pesa za ubunge?

Tabasamu?

MO Dewji?

Rostam Aziz?

ZUngu?

Huyo jamaa wa Sportpesa??
 
Hata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.

Hata madiwani ni hivyo hivyo.

Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.

Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
Kama madiwani hali zao definitely sio nzuri...hivi diwani akistaafu analipwa shilingi ngapi mkuu
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Tuliaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom