Mbunge Kasaka: Kila mamlaka ina nguvu ya kufunga biashara, huu ni mfumo holela

Mbunge Kasaka: Kila mamlaka ina nguvu ya kufunga biashara, huu ni mfumo holela

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka akichangia hoja bungeni leo Aprili 15, 2026 amesema tozo na kodi ambazo wawekezaji wa madini wanapitia ni nyingi na zinaweza kuchangia kushindwa kufanya biashara, na baadhi ya mamlaka zinakuwa na nguvu ya kufunga biashara inapotokea mwekezaji hajalipa moja kati ya mamlaka.
 
Back
Top Bottom