Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

Toka arejee nyumbani LISU Kila mtu anaonesha analoweza
Lisu hawezi kuzungumzia ishu ya mwigulu au nape hao ni homeboys wanalindana sana hata lisu alivyoshambuliwa mwigulu hakutia neno na wala lisu hatii neno ,nape alipotolewa bastola mwigulu alikuja juu sana

USSR
 
We bwege ulikuwa unafurahia Lissu kupigwa risasi
 
Back
Top Bottom