Lisu hawezi kuzungumzia ishu ya mwigulu au nape hao ni homeboys wanalindana sana hata lisu alivyoshambuliwa mwigulu hakutia neno na wala lisu hatii neno ,nape alipotolewa bastola mwigulu alikuja juu sana