Kuna kitu anataka kuongea ila sikipati,kwa hio yeye ushauri wake ni upi?
Ndio maana wanalazimisha.Bima ya Tanzania ni wizi mtupu! Kwa kifupi ni njia ya serikali kupata mapato bila jasho ndiyo sababu watu huishia kukata third party insurance kwa sababu bima ni takwa la kisheria.
Uliza AAR yanayotokeaNdio maana wanalazimisha.
Wafanye option...halafu makampuni mbalimbali yaingilie kushawishi jamii kama kwa mitandao ya simu uone kama watu hawatakiwi wengi
Unweza kutuambia umeelewa nini?ana maana gani?Mimi nimemwelewa kwa sababu hili pia nilishawahi kuliwaza.
Unweza kutuambia umeelewa nini?ana maana gani?
OK nashukuru kwa maelezoMfano: mkipata ajali kwenye basi ukaumia labda umevunjika mguu,
No 1: Itabidi ujitibu kwa gharama zako huku ukisubiri kesi iishe mahakamani.
Je, kama huna hela itakuwaje? Hapa anazungumza kwamba kunatakiwa sheria ipaangalie vizuri.
No 2: Kesi ikiisha ukaenda kudai kwenye Bima, wao wataamua wakulipe kiasi gani.
Hapa ndipo pia anapazungumzia, kwamba kuwe na sheria inayowabana kutomlalia muhanga.
Hivyo ndivyo nilivyo elewa.
Anaunga hoja mkonoKuna kitu anataka kuongea ila sikipati,kwa hio yeye ushauri wake ni upi?
[emoji3][emoji3]Anaunga hoja mkono