Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Analinda maadili.
Anayalinda kwa kutukana watu.
Anayalinda kwa kuongea matusi mitandaoni.
Ameshapost videos akielezea alimlala mama wa mtoto wake kwenye treni.
Huyu hana tofauti na civilian coin. Mtu anahitaji msaada wa akili mnamvalishia suti matatizo yake.