Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Mngempigania lissu anayekaribia kunyongwa kama mnavyopigania huu ujinga taifa lingekua mbali sana
sasa kwani TAL kasema anaogopa kunyongwa? mbona mnajisemesha, endeleeni Mkamyonge, ila ole wenu kamba ya kumyongea ikatike, kama zile risasi 17 zilivyoshindwa kuondoa UHAI wake!
 
Dudubaya angeeka Mahakamani kupinga hiyo faini, maana sioni kama msemo wake unaenda kinyume na maadili na utamaduni wa mtanzania. Makonda anataka kuleta mambo ya Jiwe akiongea kitu basi tafsiri yake kuwa mtu huyo achukuliwe hatua kwa sababu tu ana chuki naye au hajapenda.
Ujumbe wa Dudubaya (You better watch your back) una shida gani, watanzania inabidi tumshambulie Makonda tuishambulie na BASATA.

Hadi sasa najiuliza kwa nini Waziri Mkuu hajapiga marufuku hiyo faini kwa Dudubaya.

Makanisani siku hizi watoto wanafundishwa bila kificho tena kwa kutamka na wao kutamka
"Kulinda pupu zao mtu mwingine asichezee.
"Pupu wamepewa na mwenyezi Mungu kwa ajili ya kunyea na sio vitu vingine.
 
Hatujawapangia
Tumeshangaa kumbe mna nguvu za kupambania mambo ambayo ni minor mnaacha kupambania HAKI na roho zisizo hatia zilizopotea MO29
Sasa kama mna umoja kwenye mambo kama haya unadhani umoja huu ungetumika kumtetea Lissu mpigania haki namba moja nchini sasa hivi tungekua na mfumo mzuri wa haki unaomnufaisha kila mmoja
Nikuulize mimi nikifirwa wewe unapata hasara gani?
YOU better WATCH your BACK.
 
Attachments

  • Screenshot_20260927_090622_Chrome.jpg
    Screenshot_20260927_090622_Chrome.jpg
    167.5 KB · Views: 9
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amempongeza mwanamuziki Godfrey Tumaini maarufu Dudu Baya kwa juhudi zake za kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kulinda maadili, akimtaja kuwa ni mpambanaji wa maadili na “Balozi wa Wabunge” katika kampeni yake ya 'Linda Mgongo wako'.

Kingu amesema ujumbe wa “Watch Your Back”, unaomaanisha “Linda Mgongo”, una umuhimu mkubwa katika jamii kwa kuwa unahamasisha watu kuwa makini katika kulinda maadili na mustakabali wa kizazi kijacho.

Amesema suala la malezi na maadili linapaswa kuanzia katika familia, akieleza kuwa kila asubuhi watoto wake wanapojiandaa kwenda shule, huwapa wosia na kuwakumbusha umuhimu wa kuzingatia ujumbe huo wa “Linda Mgongo”.

Vilevile Mbunge huyo wa Singida Magharibi amesema, kampeni hiyo ina umuhimu katika kuwajenga vijana kuwa na uelewa kuhusu maadili na kuwasaidia kuepuka mienendo inayoweza kuathiri maisha yao na jamii kwa ujumla.

Katika kuunga mkono juhudi hizo, Kingu amesema yeye pamoja na rafiki yake wameamua kuchangia jumla ya Shilingi milioni 1.5 (TSh 1,500,000) kwa ajili ya kuendeleza kampeni hiyo ya kuhamasisha na kulinda maadili ya vijana.

Katika hatua nyingine, Kingu ametoa wito kwa jamii kushirikiana katika juhudi za malezi na ujenzi wa maadili, akisisitiza kuwa jukumu la kulinda kizazi kijacho linahitaji ushirikiano kutoka kwa wazazi, viongozi na jamii kwa ujumla.
View attachment 3678429

Siyo kuchangia vyoo kujengwa mijini, shule na mahospitali?
Siyo kuchangia ujenzi wa ma library kila kata?
Siyo kuchangia ujenzi wa miundo mbinu jimboni?
Siyo kuchangia ....

Kweli wabunge tunao!
 
Maadili anayopigania Lissu ndio maadili ambayo yanatakiwa kwenye jamii,
Unataka maadili gani zaidi ya kuzuia mauaji yaliyotokea oct29

Akili umeweka matakoni
Hujui ata maana ya kutetea haki, amani na kulinda maadili kijana
 
Back
Top Bottom